Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Asali wa moyo tangu nineteen kweusi,Kwa ufupi sana umbujr unisaidie ufahamu wako kwake ukoje yaani..kama nani vile toka lini nk
Kwa ufupisho huu imetosha umbuje?
Asali wa moyo tangu nineteen kweusi,Kwa ufupi sana umbujr unisaidie ufahamu wako kwake ukoje yaani..kama nani vile toka lini nk
Hii hoja imekaa ki interahamwe....haikubaliki
Asali wa moyo tangu nineteen kweusi,
Kwa ufupisho huu imetosha umbuje?
Kwamba kijana wangu OLESAIDIMU ndiye mmiliki halali wa moyo wa umbuje toka 19 kweusi.na hakuna.wa kuwatenganisha?
sijasahau bebi dawa
Kwamba kijana wangu OLESAIDIMU ndiye mmiliki halali wa moyo wa umbuje toka 19 kweusi.na hakuna.wa kuwatenganisha?
Mwenyekiti, hii tuiweke kwenye kumbukumbu au tusubirie taarifa nyingine?
ODM akaweka hili moyoni mwake, akaenenda kwa amani.
Mchezo ganiiiiii
Pole sana umbuje kwa kutumia nguvu nyingi.
Hakuna haja, niliyoandika, nimeandika kwamba OLESAIDIMU ndiye mfalme wa moyo wake umbuje wangu Ennie ambaye anataka kufloat na hommie Asprin
Hivi bodies zina float hata kwenye vacuum umbuje?
Kuna makitu mengine magumu kukumbukika ujue!!
Mimi nimepata mke kupitia jf, what more can you ask...labda gunia la chawa!!teeh!!
Umbuje, apo kwen post yangu umeona miti au msitu?
mkuhu you're right mkuhu humu happy sanah mkuhu mahana ninahona ninachelewah kujihunga mkuhu