Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,961
- 55,976
Poa kaka mkubwa !!!!!!!
Baki baki bana tusogeze life
yeah mkuu, maisha yenyewe ndio haya. Wakati mwingine yana nyooka, wkt mwingine yana pinda pinda.
Poa kaka mkubwa !!!!!!!
Baki baki bana tusogeze life
Mi na wewe hatujafahamiana Pentagon. siezi kukuchakachua you know?
Hommie Kaizer njoo msome mmasai ana abuse umri.
Good.mtihani wa kwanza umepita isipokua dera limekunyima maksi zote... Asprin njoo uifile hii ripoti...kabla hatujakaa kama kamati
Hhahahaa....mjini kila mtu haniiii uzee mwisho msata lol
Jf haiwezi boa hata siku moja, watu kama jembe afrika Mentor miss chagga masai dada mshana jr na wengneo hufanya jukwaa hili linoge zaidi...
nipe majibu
jana nililala aisee
NYIE JESHI KUBWA AISEE NAJUA NINAVYOANDIKA HAPA MMELALA HOI
Tukuozeshe?
Cc mwekundu OLESAIDIMU Tized Mr Rocky Ntuzu mwallu Elli79 [MENTION=176712]Rich Pol Nicas Mtei Asprin ..
Hajalala ntu hoi apa tupo gado chezeya mjini wewe? Apo juu nimeshaconnect dots mbona
hahahahnb night shift umeingia mida gani mkuuu
WATOTO WA MJINI NUKSI CHUNGA TU SILAHA YA LINDONI WAKIKOSA HELA WANACHUKUA HATA SILAHA
ahahah wacha nilale mie...yatosha kwa jana maovu yake. damn...alafu barabara ya kuja kwenu ilikuwa imefungwa kabisa jana...
Midomo mingine haina meno.
mmh unataka kunijazia watu afande
barabara ipi??
will tell you...