Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
i cant do that honey, umeshaanza kusikiliza ya watu my love siyo?
Umeuumiza sana moyo wangu....
i cant do that honey, umeshaanza kusikiliza ya watu my love siyo?
uzi wa kutafuta sifa na kutajana majina...............wana jf wanapenda kutajwatajwa.............!!! Hata kama hakuna sababu ya maana we taja tu jina la mtu basi like hiyoooooo.............
Hahahahaha
Umeuumiza sana moyo wangu....
hahahaah. Lols. Iko nini hapa?
Please msilianzishe, manake nilichoka!!!
si unajua tena jf kama huna mbavu lazima ufe........loading error................Jf haiwezi boa hata siku moja, watu kama jembe afrika Mentor miss chagga masai dada mshana jr na wengneo hufanya jukwaa hili linoge zaidi...
Shabiki
Kaizer kunani mkuu.....Hahahahaha