Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Hadithi za Mpwa wangu Mentor siishi kuzifurahia na shemeji yangu Mtambuzi basi raha kweli kweli ila kule kwenye siasa nikikutana na Mpwa wangu lusungo lazima tutuoane jasho.........
 
Last edited by a moderator:
Hadithi za Mpwa wangu Mentor siishi kuzifurahia na shemeji yangu Mtambuzi basi raha kweli kweli ila kule kwenye siasa nikikutana na Mpwa wangu lusungo lazima tutuoane jasho.........

Teh teh teh

Kabisa mpwa ila nashangaa wengine huchukulia serious issue za jf mpaka kuchukiana
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1400923774859.jpg
    1400923774859.jpg
    49.7 KB · Views: 44
keshazeeka...medula oblongata ipo slow mno by the tym ashtuke...tusha...na tushafanya mambo!!!

weeeehhh, babu bado mtoto mdogooo hadi utosi wacheza kila usiku namtia mafuta ya nazi utosini babu wangu Asprin.
 
Last edited by a moderator:
I always enjoy when am here. Nina alot of people wananipa amani, faraja na furaha. Be blessed all
 
I love being here.....yaani unaongea na watu huku unawachora akilini.....people are funny,dramatic,stressed and loveable...kuna mtu unaweza kupenda kuona amecomment nini tu sababu hawachoshi kuwasoma...Maaan...I love JF!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom