hahahah kwa big G tena? Mpenzi wangu unataka kunisaliti? Ntakaanga sumu ujue...
Hawatakufa hakika.....
Uzi wa kutafuta sifa na kutajana majina...............wana JF wanapenda kutajwatajwa.............!!! hata kama hakuna sababu ya maana we taja tu jina la mtu basi like hiyoooooo.............