FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

20863777799912.
Ingiza vocha hyo. Voda 1. Fanya fasta kabla hawajaiwahi

Used! Nicas Mtei vocha unayojaribu kuing....yenye namba...imeshatumika kwenye namba inayoishia ...89055 tarehe 25/11/2012! Thanx though.
 
Last edited by a moderator:
Mi namiliki tunguri 7, vibuyu 15, hirizi themanini, nyungo 10. Pia nina uwezo wa kwenda nchi yoyote kwa muda mfupi kwa kutumia njia za asili.. Napaa. Mengine siri yangu.

Mr njoo ubungo tukupe tenda...Gari zinachelewa sana...we utakuwa fasta zaidi kama fastjet...
 
"Mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali. Mwili wangu wakuzaliwa, maringo kwetu kawaida! Nikigeuka, nakubali, nikicheka utazimia wasiwasi!"- Supreme Ndala Kasheba!
 
"Mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali. Mwili wangu wakuzaliwa, maringo kwetu kawaida! Nikigeuka, nakubali, nikicheka utazimia wasiwasi!"- Supreme Ndala Kasheba!
Back to topic ! Kama huna unachomiliki kaa kimya, usitujazie seva alaaah!
 
Eeee Mandingo ndio mimi hata dem awe na bwawa lazima asepe na chuppi mkononi!Mijimama yote hapa ime koma mtanange wangu si muchezo!Gongeo langu liki gonga majirani hawalali!Oooh thankx Jah kwa kunipa hiki kijiji!!!!
Kwa idai ya madem ninao miliki King Mswati hanipati.....
 
Last edited by a moderator:
Mie namiliki mazombi matatu yote yamefika kwangu afu mie cna mkakati nayo nayavuna tu...,
 
Eeee Mandingo ndio mimi hata dem awe na bwawa lazima asepe na chuppi mkononi!Mijimama yote hapa ime koma mtanange wangu si muchezo!Gongeo langu liki gonga majirani hawalali!Oooh thankx Jah kwa kunipa hiki kijiji!!!!
Kwa idai ya madem ninao miliki King Mswati hanipati.....

Unyanyasaji wa kijinsia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom