FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Hahahaha! Mwambie nimemtuma aje achukue nguo za kubadilisha hivyo asijishaue eti mume karudi lol

Mama sasa wewe unakula na kipofu halafu ndio unamkamata na mkono wake kabisa,msubiri abadilishe tu asichukue nguo za kubeba...
 
Ha ha ha ha! Usijali St. Paka Mweusi , marejesho haniwezi na Filipo hapa kwangu kafika , tena akicheza namwambia atoke na kabati lote lol

Nilikuwa sijaona hapa,nani wa kutoka na kabati hapo..?? Unadhani marejesho atamruhusu..?? Atatoka na mfuko wa Rambo aliokuja nao labda umnunulie sanduku umsubiri nalo getini kumfichia aibu....
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijaona hapa,nani wa kutoka na kabati hapo..?? Unadhani marejesho atamruhusu..?? Atatoka na mfuko wa Rambo aliokuja nao labda umnunulie sanduku umsubiri nalo getini kumfichia aibu....
Hahahaha! Kumbe ndio mana haishi kujipendekeza kwa marejesho, anajua akileta za kuleta ki rambo kinavurumishwa nje lol. Pole Filipo hayo ndio madhara ya kulelewa! Ila ntamnunulia sanduku St. Paka Mweusi !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom