FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

kwani kuna ubaya kujisifia acha nianze hivi

nina miliki pafyumu babkubwa toka magharibi, nina simu ambayo Tanzania haipo na hakuna mtu aliyenayo, nina kabati la nguo la kisasa wewe umeshaona kabati linajifungua lenyewe na kukuambia unataka kuvaa nguo gani? wee acha masihara bana na vilevile nina uwezo wa kutamka kitu na kikatokea , UPO HAPO MWAKWETU
 
ladyfurahia hivi una furahia nini dada?...
 
Last edited by a moderator:
me namiliki ulimwengu jisifieni niupige mnada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom