marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,661
Bado tu unatusumbua marejesho hebu twende ndani....
St. Paka Mweusi nakuja sasa hivi,ngoja niepue mboga jikoni!!!
Last edited by a moderator:
Bado tu unatusumbua marejesho hebu twende ndani....
Mbona umekuwa mkali hivyo?
St. Paka Mweusi nakuja sasa hivi,ngoja niepue mboga jikoni!!!
Mbona umekuwa mkali hivyo?
St. Paka Mweusi nakuja sasa hivi,ngoja niepue mboga jikoni!!!
Mi nimelirusha gizani tu wala sikumlenga mtu,niliposikia mayowe nikajua kumbe limempata Nicas Mtei, halafu mbona PM zinagoma kwenda au umedisable,leo nataka mpaka Filipo atoe machozi na kuomba radhi.Asipofanya hivyo atakuta manyoya mi ndo mtakatifu bana wengine fotokopi..
Sitaki lawama.. Naanza kazi
we marejesho wewe. Hivi unataka nimteketeze huyo Nyau mweusi Mtaka vitu?
Mi nimelirusha gizani tu wala sikumlenga mtu,niliposikia mayowe nikajua kumbe limempata Nicas Mtei, halafu mbona PM zinagoma kwenda au umedisable,leo nataka mpaka Filipo atoe machozi na kuomba radhi.Asipofanya hivyo atakuta manyoya mi ndo mtakatifu bana wengine fotokopi..
Msigombane bana!!!
Wacha afichwe tu na marejesho,na akirudi na sisi hatumsimulii kilichokuwa kinaendelea huku..bora akute manyoya tu..
nipo nawachungulia tu! Naona watu wanataka kurushiana vitu vyenye ncha kali kugombania halali ya mwenzao! Achana nao hao!
hah hah hah hah!? Umesema? Wife hawezi kunificha wewe! Na mkishauana nitakuta manyoya kweli
Wakuu vipi? Hapa sio FB mbona mnaharibu jukwaa. Mmepoteza mada banaaaaaaa!