mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 876
nafasi zimejaa au badoMe namiliki wanaume watano.
Na wote nawamudu.
nafasi zimejaa au badoMe namiliki wanaume watano.
Na wote nawamudu.
Polepole jamani. Nishike mkono nikuoneshe. Kuja pande ya pm kabla manyang'au hayajakuvamia!
umetisha mkuuu......Mi ndo charger,piga misele yako weee jioni utakuja tu na kisimu chako,siepukiki so far.Utajiri- namiliki cherehani,feni,kapeti la manyoya na friji used.
sasa mimi nijisifie kivipi jamani naomba nicas unisifie basi
Nicas Mtei unaitwa huku!!!!
Hi Nicas Mtei !! Nimekumiss ile ya ukweli!!!
St. Paka Mweusi twende zetu PM tukazungumzane!!!!Naona Filipo anatumia uhuru wake vibaya!!!
ohoo kila mtu anajisifia nilidhani unasifiwa na mtu oky acha nami nijisifia sikuona wajameni
St. Paka Mweusi twende zetu PM tukazungumzane!!!!Naona Filipo anatumia uhuru wake vibaya!!!
Mbona unaniita kwa nguvu hivyo Nicas Mtei ? Nimefanyaje tena?
Kaka si nimeitwa mimi,we hebu sogea kule kidogo...
Bado tu unatusumbua marejesho hebu twende ndani....
shindwa, teketea, tokomea, legea.