FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Hivi una habari kuwa Paw ni shemeji angu kabisa wala hatujakutana barabarani?

Akichungulia huku nampiga ban! ushemeji wenu ni kwenye jukwaa la stress........ halafu kule sikuizi nina adhabu kweli
 
Mimi maelewano yangu na watu wa aina tofauti tofauti . . . . nadhani ndo sifa yangu kubwa!
Na dey people . . . .I see say dey go like me ooo!!!
 
Akichungulia huku nampiga ban! ushemeji wenu ni kwenye jukwaa la stress........ halafu kule sikuizi nina adhabu kweli
Ha ha ha ha! Una adhabu gani kule?...afu mie sijapita kule mda mrefu, namalizia malizia viporo vya chit chat then nahamia kwenye stress mazima! Tutaenda wote eeh?
 
Ha ha ha ha! Una adhabu gani kule?...afu mie sijapita kule mda mrefu, namalizia malizia viporo vya chit chat then nahamia kwenye stress mazima! Tutaenda wote eeh?

sasa kule si shemeji yako Paw ndo anakomalizia hasira zake kwangu? nimekuwa msomaji zaidi ya kuchangia......... nikichangia nachangia kwa adhabu kweli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom