zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
huu uzi ni special kwa wahaya.... :behindsofa:
Makubwa tena haya! We Vin Diesel Masingi ndio nini?Mtafute sweetlady atakusaidia kumtia masingi huyo raia....
Yamukuwa hayo!!
Ndio hivyo mke mwenza!
umekuwa mpole hadi unatia huruma! Lol...
Makubwa tena haya! We Vin Diesel Masingi ndio nini?
sasa mimi nijisifie kivipi jamani naomba nicas unisifie basi
naitwa wapi nicas naomba unielekeze ili nije huko maana sipajui nielekeze basi sioni njia bhana