sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Taratibu na maneno yako eeh!?
Hahahahaha! Huo ndio ukweli
Taratibu na maneno yako eeh!?
Ni kazi yangu kuzunguka huku na kule kuhakikisha kuwa walioko katika mahusiano wanayafurahia kwa raha zao
Aaah wapi! Sema vizuri
Kumbe na wewe upo?
Mambo vp Mkuu! Unakubalije kushindwa kirahisi hivyo kama mgombea wa tpp maendeleleo! Komaa mkubwa!?
Hahahahahaha! Teh teh teh teh! Kwe kwe kwe kwe! Hata moyo wako unajua kuwa huna ubavu wa kuniacha! Pole mwaya!We mbona bado wanifuatilia....nimekuacha ila naona bado huelewi sijui
Hahahahahaha! Teh teh teh teh! Kwe kwe kwe kwe! Hata moyo wako unajua kuwa huna ubavu wa kuniacha! Pole mwaya!
bora na wewe umeamka.....:glasses-nerdy:
.....hivi kuna wengine mlikubali ku-RIP last night? mimi huyo jamaa Smiling Saint nikimuona lazima ale kwenzi za kutosha!
Usisubiri kusifiwa jisifie Mwenyewe...Husika na kichwa ya habari hapo juu..
Mi ntakuwa wa Mwisho...ila kwa kuanzia..mi ni mbabe,hapa ngumi zimelala....uwezo wangu binafsi wa kumfurahisha na kumridhisha mwenzi wangu...
Nina miliki baiskeli 3,qhoen
Hayo ni mache tu...
Endeleza.