Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Ratiba ya wikiendi
IMG-20190927-WA0016.jpeg
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga mfumo wa Cable Tv kwenye hotel, guest house ,apartment au nyumbani

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

>Contacts
-0764 453848

Sent using Jamii Forums mobile app
Canal ni nini? nani anamiliki? please naomba elimu kwanza kabla ya kukupa kazi!
 
Canal ni nini? nani anamiliki? please naomba elimu kwanza kabla ya kukupa kazi!
Canal+ (Canal Plus, French pronunciation: [kanal plys], meaning 'Channel Plus'; sometimes abbreviated C+) is a French premium television channel launched in 1984. It is 100% owned by the Canal+ Group, which in turn is owned by Vivendi.

-Wanaonesha ligi za Uingereza (EPL), Ufaransa(League 1), Laliga, UEFA,Europa na zinginezo.
-Mashindano mbalimbali ya tennis(Wimbledon, ATP Masters 1000), mpira wa kikapu (NBA), rugby, mashindano ya magari (Formula 1), mieleka (WWE) nk.

-Yote haya utayaona kwa channel za Canal 1,2,3 na 4 zote zikiwa HD
 
asante kwa elimu kifurushi namlipa nani sasa na gharama za ufungaji na dish kiasi gani? natanguliza shukrani!
 
TAARIFA KWA WATEJA WA KINGAMUZI CHA TING CHA DISHI.
Kutakuwa na mabadiliko ya SYMBOL RATE kutoka 30000 kuwa 25000 kuanzia siku ya jumanne tarehe 19/11/2019 asubuhi. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Endelea kufurahia huduma yetu.
 
Hivi kisimbuzi hiki kina Chanel gani nzuri hasa?
 
Nipo Kilwa lindi mkuu, nakupataje
Bei zetu za ving'amuzi

>DSTV- 99,000 (kikiwa na kifurushi cha Compact)
>Azam Tv - 145,000
>Startimes(dish) - 135,000 (pamoja na delivery)
>Startimes (antenna) - 79,000
>Canal - 185,000 (one month subscription + installation[ufundi])

Tunakuletea popote ndani ya Dar es Salaam
Instagram @nova_satellite_dealers
 
Back
Top Bottom