Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Ninaomba kujua, kwa ule mfumo wetu wa zamani wa kutumia dish kubwa,futi 6, 8 n.k pamoja na decorder, ni decorder gani ni nzuri kwa sasa? Ninayo ile MFT950 imeungua, sasa ninataka ya kisasa zaidi. Je, hiyo nzuri na ya kisasa ni sh ngapi na nitafaidi nini?
 
Zipo za aina tofauti mp4 zenye specifications tofauti kuna kuanzia 100,000 mpaka 250,000. Inategemeana na matumizi yako.

Asante,

Hayo ndiyo ninataka kujua, mfano, tofaut kati ya hizo za 100,000 na 250,000 ni nini? Binafsi,ninapenda huduma nzuri toka ndani ya hizo decorders, lakini sizijui. Uelewa wangu unaishia zile za kwetu ambazo kwa sasa ni outdated bilashaka, MFT-930+.

Je, nikinunua decorder ya 250,000 inabadilishaje maisha yangu ya kutazama TV?

Ninataka kununua decorder maana ving'amuzi vinazingua
 
Mfano;
-Decoder za 100,000 ni MPG4 za kawaida kabisa
-Decoder za 120k, 150k hizi ni MPG4 zina mfumo wa PowerVu autoroll, IPTV
-Hizi za 250,000 zina uwezo wa Bisskey autoroll, Powervu autoroll, IPTV, IKS na vinginevyo
 
Asante,lakini ninadhani bado hujaweza kuuza ama kutambulisha bidhaa zako. Hivi, ulivyoadika hapa ni wateja wako wangapi wataelewa hayo?Mimi nilitarajia nisikie tu, decorder X zinakuwezesha kupata hiki au kile, au zina picha bright(angavu) sana kuliko decorder Y.Au decorder Y ina redio,inaweza kurekodi n.k.

Muhimu

Hiyo ni mifano ya vile ninaweza kukuelewa kuliko kutaja msamiati wa kifani ambayo huelewana watu wa electronics na communication wenyewe. Hivyo, havinisaidii mimi mteja nisiyejua lolote kwenye fani hiyo.Kumbuka hapa unataka kuuza, si kuonesha ujuzi wa msamiati.

Asante
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga mfumo wa Cable Tv kwenye hotel, guest house ,apartment au nyumbani

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Da
 
Mambo VP? Naomba unitumie freq na Sr za satellite ya Abs 2 75degree East , ninatumia dish dogo 90cm
 
Asante,lakini ninadhani bado hujaweza kuuza ama kutambulisha bidhaa zako. Hivi, ulivyoadika hapa ni wateja wako wangapi wataelewa hayo?Mimi nilitarajia nisikie tu, decorder X zinakuwezesha kupata hiki au kile, au zina picha bright(angavu) sana kuliko decorder Y.Au decorder Y ina redio,inaweza kurekodi n.k.

Muhimu

Hiyo ni mifano ya vile ninaweza kukuelewa kuliko kutaja msamiati wa kifani ambayo huelewana watu wa electronics na communication wenyewe. Hivyo, havinisaidii mimi mteja nisiyejua lolote kwenye fani hiyo.Kumbuka hapa unataka kuuza, si kuonesha ujuzi wa msamiati.

Asante
Ok, hizo za 120k, 150k zina uwezo wa kufungua channels kama HBO, Sony nk

Hizi za 200k zinaweza kufungua channel nyingi za mpira.
 
Bei zetu za ving'amuzi

>DSTV- 99,000 (kikiwa na kifurushi cha Compact)
>Azam Tv - 145,000
>Startimes(dish) - 135,000 (pamoja na delivery)
>Startimes (antenna) - 79,000
>Canal - 185,000 (one month subscription + installation[ufundi])

Tunakuletea popote ndani ya Dar es Salaam
Instagram @nova_satellite_dealers
Kwahiyo azam mnauza bei kubwa kuliko Bakhresa mwenyewe.
 
Matangazo yanayorushwa kwa masafa ya KU band ni kawaida kuathiriwa na mvua/wingu zito.Tatizo hilo bado halijapatiwa ufumbuzi.
Mkuu nina TCL ni smart TV kwanini wakati mwingine channels zinakata kabisa hata mwezi mzima kisha zinaweza kurejea chache.Wakati mwingine channels zikigoma kuonesha zinaandika 'NO CI MODULE'
 
Unatumia tv brand gani mkuu??
 
Back
Top Bottom