Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

CCCAM CCCAM CCCAM Ni offer kabambe Sana:
✓3 Months 18,000\=
✓6 Months 25,000=
✓12 Months 35,000/=
✓24 Months 45,000/=

✓ 1yrs forever server 55,000/{
✓1yr Apollo 55,000/=
✓1yr Forever + Apollo 85,000/=

CCAM ni kwaajili kufungulia channels za nyuzi 7w, 4w na 16e

Piga 0764453848
 
daaaah mkuu nikajua ni CCM sorry sana ni hii hali ya maisha tu
 
CCCAM CCCAM CCCAM Ni offer kabambe Sana:
✓3 Months 18,000\=
✓6 Months 25,000=
✓12 Months 35,000/=
✓24 Months 45,000/=

✓ 1yrs forever server 55,000/{
✓1yr Apollo 55,000/=
✓1yr Forever + Apollo 85,000/=

CCAM ni kwaajili kufungulia channels za nyuzi 7w, 4w na 16e

Piga 0764453848
Channel za nyuzi 7w ndo unamaanisha Nini? Liweke wazi bro me sijaelewa hata kidgo
 
Mechi zote hizo unazipata kupitia Canal+ decoder kwa malipo ya 45,000 kwa mwezi
IMG-20200816-WA0027.jpeg
 
Bongo hakuna mfanyabiashara aliye serious na customer care! Kuna fundi nilimpigia aje kunisetia dish limehama kidogo akawa anataka elfu 20 nikamwambia aache ujinga ,kuset dish kuanzia mwanzo hadi kufunga ni elfu 20 ,yeye kuja kuliweka sawa(Kukaza nuts) ananiambia elfu 20 ,nikamwambia kama 10 aje akakataa lakini alikuwa hana ile ari ya kumretain mteja yaani ile don't care uje au usije ,nikaona bora nitafute fundi mwingine nimlipe 15 kuliko kumpa yeye hiyo 15 maana huyu wa pili alikuwa na ule U_serious wa kupata kazi.
 
Haya malalamiko yanahusikaje huku
 
Haya malalamiko yanahusikaje huku

Mkuu relax kapate supu uondoe Wenge la Pombe za jana.

Mada ni Mafundi madish na mimi nalalamikia mafundi madish kosa langu liko wapi? Halafu huu ni mijadala haikufungi kuzungumzia kitu kingine...Usiwe Rigid.
 
Dstv kubadilisha majina na mpangilio wa channel za michezo kuanzia Septemba Mosi
ROA_Thematic_Packages_1500.jpeg
ROA_Thematic_Channels_1500.jpeg
 
Nahitaji fundi Aje (anifungie) afanye setting ya dish canal+ ya 22w, dish lipo tayari limefungwa juu. Nipo kijitonyama dar es salaam
dish ft 4 na lnb fuji
Anicheki WhatsApp +255 734 203297
 
Nahitaji fundi Aje (anifungie) afanye setting ya dish canal+ ya 22w, dish lipo tayari limefungwa juu. Nipo kijitonyama dar es salaam
dish ft 4 na lnb fuji
Anicheki WhatsApp +255 734 203297
Tulishawasiliana
 
Mkuu nipe utaratibu wa kulipia canal
Decoder ya Canal inalipiwa kupitia kwa wakala. Nakulipia na channel zinafunguka chini ya dakika tano bila usumbufu wala utapeli
 
  • Thanks
Reactions: Lee
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom