Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

1. Wapo faster kutoa software updates
2.Zina videocoding format mpya kama HEVC (H 2.65)
3. Zinafanya autoroll kwenye b*sskeys na pow*rvu
Kwahiyo hizo unapata free channel za nyumbani au hadi na za nje?
 
Movies; HBO, Universal channel, AXN, Sony, Lotus, MBC nk
Habari: CNN, BBC, Sky News, Aljazeera, RT nk
Documentary: Animal planet, Discovery Science, TLC, National Geographic nk

Zipo nyingi nyingi sana
za nje kama zipi ?
 
Movies; HBO, Universal channel, AXN, Sony, Lotus, MBC nk
Habari: CNN, BBC, Sky News, Aljazeera, RT nk
Documentary: Animal planet, Discovery Science, TLC, National Geographic nk

Zipo nyingi nyingi sana
Jumla ni tsh ngapi upate hivyo?
 
-Jipatie Canal+ HD decoder uweze kuburudika katika msimu huu wa ligi mbalimbali kwa sh 190,000 (ikijumuisha ufundi+ kifurushi cha kuanzia)

-Utaweza kuona ligi za Uingereza (EPL), Ufaransa(League 1), Laliga, UEFA,Europa na zinginezo.
-Mashindano mbalimbali ya tennis(Wimbledon, ATP Masters 1000), mpira wa kikapu (NBA), rugby, mashindano ya magari (Formula 1), mieleka (WWE) nk.

-Yote haya utayaona kwa channel za Canal 1,2,3 na 4 zote zikiwa HD

-Malipo ya kifurushi cha Canal ni 48,000 tu kila mwezi.

NB.
-Matangazo ya mpira na live events zingine ni kwa lugha ya kifaransa.
-Bei hii haijumuishi dish

Simu: 0764453848
 
Back
Top Bottom