Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

poppah

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
545
1,000
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga mfumo wa Cable Tv kwenye hotel, guest house ,apartment au nyumbani

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

>Contacts
-0764 453848Sent using Jamii Forums mobile app
 

poppah

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
545
1,000
Yaani kuna kuna wapumbavu wamenifungia DStv mpaka najuta kuwaita, brand kubwa inaharibiwa na vilaza kama hawa, Pumbavu kabisa wakiendelea hivi nitapeleka hiki king'amuzi chao huko head office zao nikakiache huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa DStv haihusikii mkuu, jaribu kuuliza kwanza kabla ya kutoa shtuma zako.Kama kuna fundi amekuharibia basi usi-generalize

Sent using Jamii Forums mobile app
 

poppah

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
545
1,000
Bei zetu za ving'amuzi

>DSTV- 99,000 (kikiwa na kifurushi cha Compact)
>Azam Tv - 145,000
>Startimes(dish) - 135,000 (pamoja na delivery)
>Startimes (antenna) - 79,000
>Canal - 185,000 (one month subscription + installation[ufundi])

Tunakuletea popote ndani ya Dar es Salaam
Instagram @nova_satellite_dealers
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom