Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

EPL wikiendi hii kwenye Canal+
Screenshot_20191227-141125~2.jpeg
Screenshot_20191227-141300~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga mfumo wa Cable Tv kwenye hotel, guest house ,apartment au nyumbani

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

>Contacts
-0764 453848

Naaaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kuweka televisheni kwenye vyumba vya nyumba ya kulala wageni.
Nataka kutumia dishi moja lakini kila aliye kwenye chumba aweze kubadili chaneli.
Sitaki nyumba yote kulazimishwa kuangalia chaneli moja.
Ningependa kutumia king'amuzi cha Azam.
Nipo Ngara Kagera.

Inawezekana boss, ila idadi ya channel zinazohitajika zitakupa idadi ya dekoda/receiver
 
Back
Top Bottom