Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Mkuu nataka nifunge ving'amuzi viwili vya azam kwa dishi moja na kila kimoja kijitegemee, je nahitaji vifaa gani, nipe maujanja mkuu.
 
Bei zetu za ving'amuzi
>DSTV- 99,000 (kikiwa na kifurushi cha Compact)
>Azam Tv - 145,000
>Startimes(dish) - 140,000
>Startimes (antenna) - 79,000
>Canal - 185,000 (one month subscription + installation[ufundi])
Tunakuletea popote ndani ya Dar es Salaam
Instagram @nova_satellite_dealers
King'amuzi na dikoda ni kitu kimoja au ni vitu viwili tofauti?!
 
Vyote unaweza kuvitumia kwaajili ya kupata channels mbalimbali za wanyama, movies, local nk
Mkuu kuna mtu aliniingiza mkenge nikanunua Freesat V7 akanifungia na dish la futi 5 lkn vimekaa kama pambo tu, lengo lilikua channels za mpira lkn hamna kitu kabisa. Naomba ushauri nifanye nini, nitoe nitafute king'amuzi kingine au kuna maujanja yanaweza kufanyika? Nipo dsm
 
Matangazo yanayorushwa kwa masafa ya KU band ni kawaida kuathiriwa na mvua/wingu zito.Tatizo hilo bado halijapatiwa ufumbuzi.
Eti wazee
Hivi ni kweli hakuna receiver ambayo
hata mvua ikinyesha bado unaendelea kucheck vipindi?
bila hata kuteteleka au kukwamakwama?
hasa mipira (Ligi)
 
Matangazo yanayorushwa kwa masafa ya KU band ni kawaida kuathiriwa na mvua/wingu zito.Tatizo hilo bado halijapatiwa ufumbuzi.
Hivi hawa zuku wana channels gani zenye HD?
 
-Azam na Zuku wana picha nzuri na sauti pia
-Star times wana picha nzuri ila sauti sio nzuri sana endapo utaunganisha na sub woofer au home theatre
-Ting haina picha nzuri
Zuku,startimes,ting,continental, azam,kipi ni bora picha na sauti?
 
Back
Top Bottom