Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Ten Sports ni encyripted/scrambled chaneli hakuna receiver za kawaida zinafungua isipokuwa za Sony India wenyewe...

Mtu asije akakushika masikio...
Na ile Tensport sijui nayo ni miongoni mwao?
 
Vipi vile ving'amuzi ambavyo ukifunga hulipii tena unavyo?
Na bei yake ipoje na ni kweli hulipii au uongo?
 
kwa mtu Aliyopo Mtwara Au Ruvuma Anapataje Huduma Zenu.
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

>Contacts
-0764 453848



Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nataka niangalie chanel bila kulipia [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom