Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Nina dish moja la startimes nataka nitumie kwa ving'amuzi viwili startimes yenyewe na dstv inawezekana?
 
Nina dish moja la startimes nataka nitumie kwa ving'amuzi viwili startimes yenyewe na dstv inawezekana?
Dish moja inawezekana kutumia na kingamuzi kimoja maana frequency zinatofautiana ukitaka kutumia dstv unaelekezea uelekeo wa dstv and vice versa
 
Mkuu kuna mtu aliniingiza mkenge nikanunua Freesat V7 akanifungia na dish la futi 5 lkn vimekaa kama pambo tu, lengo lilikua channels za mpira lkn hamna kitu kabisa. Naomba ushauri nifanye nini, nitoe nitafute king'amuzi kingine au kuna maujanja yanaweza kufanyika? Nipo dsm
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

>Contacts
-0764 453848

Sent using Jamii Forums mobile app
Fundi mimi nina guest house ya vyumba 8, nataka niweke tv kila room, ambapo mteja awe anabadili channel mwenyewe
Naomba unipe garama yake na vitu vinavyoitajika niko Moro
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

>Contacts
-0764 453848

Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka mkono wa kusikia LNB, WANGU UMEVUNJIKA
 
Mechi za AFCON zitaonekana kupitia ving'amuzi vifuatavyo;
1. Azam Tv (UTV)
2. Canal + (Canal sport 1)
3. DSTv (SABC na Supersport)
4. UBC channel (Startimes, ZUKU, Azam Tv)
 
1. Wapo faster kutoa software updates

2.Zina videocoding format mpya kama HEVC (H 2.65)

3. Zinafanya autoroll kwenye b*sskeys na pow*rvu
Hcho kingamuzi ni mpaka ninunue na cccam? Au ni mwendo mdundo?
 
Back
Top Bottom