Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Je, unahitaji kuona local channels kwenye TV yako?

-Channels zitakazoonekana ni ITV,EATV,Startv,TBC, CH 10,Uhai TV,Upendo TV,Dizzim TV,Clouds TV,Safari TV nk

-Mfumo unaotumika ni DTT au DVBS2

NB: Hatufanyi utapeli, unalipa baada ya huduma

-Huduma hii ni kwa walio Dar au mikoa ya karibu

Contacts
-0764453848
Vp dstv ya kawaida inakubali?
 
UONGO,
Canal Ni kwa ajili ya Francophone Countries.
Uongo upo wapi mbona CANAL tunaangalia siku nyingi tu
IMG_20190517_214353.jpeg
 
Mabadiliko ya masafa ya ITV kwa madishi makubwa.
Tupigie kwa huduma ya ufundi.
0764453848
IMG-20190523-WA0024~2.jpeg
 
Satellite yao ya mwanzo itafikia ukomo (expire) wa kutoa huduma hivi karibuni
Kwahiyo ili upate fta za tz unahitaji dish angalau ngapi au lnb ngapi? Maana kila channel iko satelite yake
 
Back
Top Bottom