safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,148
Poa poa mkuu kwa zenji mna wakala unounganishe nae..?
Na hiki si ndo hata kama sina vocha naweza kuangalia taarifa ya habari na channel japo moja ya mawaidha?
Vocha yake ya mwanzo bei gani..?
Na hiki si ndo hata kama sina vocha naweza kuangalia taarifa ya habari na channel japo moja ya mawaidha?
Vocha yake ya mwanzo bei gani..?
160,000 (king'amuzi+dish+ufundi)