CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,100
Ni bei gani mkuu?? Ili nijipange jumapili hii tuNaweza nikakuonganishia mafundi wa huko Mwanza wakafanya hiyo kazi
Ni bei gani mkuu?? Ili nijipange jumapili hii tuNaweza nikakuonganishia mafundi wa huko Mwanza wakafanya hiyo kazi
Unauza bei gani?Zipo nyingi bora zaidi ya Strong mfano Starsat, Freesat
Bei gani mkuu ? Na je hicho kinatumika bila dish?Usikose AFCON, EPL,LALIGA, France, UEFA Champions League, UEFA Europa, Copa America, Copa Del Rey, Belgium League, Turkish League, CAF Champions LeagueView attachment 1119378View attachment 1119379
Habari mkuu.Ulishapata hiyo decoder uliyoulizia?? Unayo kiasi gani nikuuzie ya kwangu??decoder kama decoder bei gani? maana hapa natumia ile dekoda ya dstv ya kawaida
Unayo ya dstv explorer? bei gani unauza mkuuHabari mkuu.Ulishapata hiyo decoder uliyoulizia?? Unayo kiasi gani nikuuzie ya kwangu??
Nikinunua dish la DSTV au Azam, litafaa, make mi sipendi madish makubwa.Ndio mkuu kinatumia dish
1. Wapo faster kutoa software updates
2.Zina videocoding format mpya kama HEVC (H 2.65)
3. Zinafanya autoroll kwenye b*sskeys na pow*rvu
Mkuu tuwasiliane sasa kupitia namba hii hata leo unaweza kuipata inategemeana na offer yako. 0784 505171Unayo ya dstv explorer? bei gani unauza mkuu
Inategemeana na uelekeo wa channel hizo, pia kuna gharama ya vifaa
Mkuu ni king'amuzi gani ambacho naweza kupata channel zote za hapa nyumbani bila kulipia vocha ya mwezi?
Yaninniwe naweza kuangalia taarifa ya habari na vichannel viwili vitatu hata kama sina vocha.
Ni king'amzui gani ?
Ungo pekee yake au full pamoja na King'amuzi?
Upo 0764453848