Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium
Kaa karibu kwa Live updates
Vikosi vya timu zote (Team news)
Mechi imeanza
4' Mashambulizi kwa kila timu yanaendelea
7' Salah amekosa nafasi ya kufunga goli
8' Mpanzu anacheza faulo
11' Hakuna aliyeona lango la mwenzake
13' Ahoua anachezewa faulo
14' Kona - Simba anapiga Mpanzu
16' Goooal - Abderrahim Deghmoum (Al Masry) anapiga shuti kwa mguu wa kushoto kutoka nje ya boksi hadi kona ya chini kulia. Akipewa pasi na Youssef El Gohary.
20' Goal Kick - Mpira wa Kichwa wa Kibu D unatoka nje
23' Kona - Al Masry wanapiga
27' Ateba - Anapoteza nafasi
29' Simba warusha mpira
30' Mpanzu anachezewa faulo nje ya box
31' Ahoua anababatiza ukuta wa Al Masry
39' Kona - Simba wanapiga
43' Kona - Simba wanapiga
Dakika 3 zimeongezwa
HT: Al Masry SC 1-0 Simba SC
Timu zimerudi uwanjani, tayari kwa dakika 45 za kipindi cha pili
Kipindi cha pili kimeanza
Al Masry SC 1-0 Simba SC
46' Faulo - Al Masry wananufaika
48' Mpanzu anajaribu shuti la mbali
50' Kadi za njano 2 zinato kwa Al Masry
55' Simba anatuma mashambulizi kutafuta bao la kusawazisha
58' Kona ya Mpanzu inatua mikononi mwa kipa wa Al Masry
60' Salah anapoteza nafasi ndani ya box la Simba
61' Mechi inaendelea baada ya kusimama kutokana na kuumia Abderrahim Deghmoum (Al Masry)
63' Mabadiliko - Al Masry
64' Offside, Al Masry. Karim Bambo
68' Faulo - Simba wanapiga
79' Mabadiliko - Ateba anatoka, Mukwala anaingia
81' Mabadiliko - Al Masry
89' VAR - Imemua goaal
Dakika 5 zimengezwa
FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC
16' Deghmoum
89' Ebuka