Rais Samia aipongeza Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,180
Reaction score
17,649
Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.

IMG_3942.jpeg

Kupitia salamu zake, Rais Samia amesema ushindi huo si tu kwamba umeleta furaha kwa mashabiki wa Simba, bali pia umechangia burudani kwa Watanzania wote.

IMG_3943.jpeg

Ameongeza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya juhudi na nidhamu ya timu hiyo, na kuwatakia kila la heri katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano hayo.

IMG_3941.jpeg

Soma, Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
 
Leo hajaahidi kununua goli Kwa milioni miambili? Maana alisema Hela hakuna lakini zipo za kununua magoli tu
 
Tunamshukuru kwa Utawala Bora unao ifanya nchi iwe na amani na maendeleo katika secta zote ikiwemo mchezo wa mpira wa miguu:
 
Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.

View attachment 3298007

Kupitia salamu zake, Rais Samia amesema ushindi huo si tu kwamba umeleta furaha kwa mashabiki wa Simba, bali pia umechangia burudani kwa Watanzania wote.

View attachment 3298011
Ameongeza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya juhudi na nidhamu ya timu hiyo, na kuwatakia kila la heri katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano hayo.

View attachment 3298006

Soma, Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
IMG-20250409-WA0064.jpg
 
Leo tunajaaaa...
Nyie mnaomtaja Mwamposa hamna imani na mashekhe wenu mbona walialikwa pia...
Yani ukisikia ubaya ubwela ndo huo nyenzo zote zinatumika....
 
Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.

View attachment 3298007

Kupitia salamu zake, Rais Samia amesema ushindi huo si tu kwamba umeleta furaha kwa mashabiki wa Simba, bali pia umechangia burudani kwa Watanzania wote.

View attachment 3298011
Ameongeza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya juhudi na nidhamu ya timu hiyo, na kuwatakia kila la heri katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano hayo.

View attachment 3298006

Soma, Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Lile fungu la matumizi yasiyo na tija liongezwe ili 1/2 fainali na fainali goli la mama liwe 20m.
 
Mitano Tena. Amesemaje kuhusu pitch ya kiwanja chetu?

Pongezi za dhati Kwa Simba. Ameliheshimisha taifa, Kila la kheri kuelekea nusu fainali.
 
Safari hii tusisikie tena zile kelele za Mama anaipendelea Yanga.
Na mkumbuke pia wakati mnaendelea na mashindano, huku nako Yanga atatangazwa Bingwa mapema sana.

Nimeona niwakumbushe tu kwa sababu nyinyi ndugu zangu ni wasahaulifu sana.
 
Back
Top Bottom