Habari ndiyo hiyo""Lakini bahati nzuri ni kwamba wapinzani wote wa Freeman wanatoka nje ya chama hicho na akitokea mtu kujifanya anampinga Mbowe akiwa chini ya Chadema ni wazi ni kibaraka mwenye lengo la kuvuruga umoja ndani ya chama.""
Moja kwa moja ni kwamba Mbowe hatoki leo wala kesho...
Kiwango cha ujinga wako na chuki kwa CHADEMA kitafakari urudishe heshima yako.Historia ni mwalimu mzuri.... Hakuna aliewahi kujaribu kumpinga Mbowe akabaki salama.
Kama Mbowe anakubalika hofu ya nini kuitisha uchaguzi.?
Mkuu ujue wako wengi na hususani huyu unaemjibu wanaishi kwa kuikashfu CHADEMA. Hamna sababu ya kendelea kumjibu mjinga; bora ni kumuepuka kumjibu aendelee na ujinga wake kwani hana madhara yo yote zaidi ya kutunza tumbo lake.Mbona huzungumzii TLP na UDP.Wewe unaijua tu CDM ilihali wewe ni CCM?
Hata katiba ya ccm hairuhusuCHADEMA mmekuwa vipofu sana, ikiwa Mbowe ataongoza miaka yote kama mwenyekiti wenu, na sisi CCM tunaanza mchakato Mh. JPM abakie madarakani kwa miaka 20 ijayo.. Sbb sisi wananchi ndio tunaamua na sbb wananchi wengi ni CCM, tutaamua Mh. JPM aendelee kwa miaka walau 20 yaani mihula 4..
Nchi nyingi toa Bongo vyama vya siasa katiba zake hazina uhusiano na serikali. Mfumo wa Tanzania wa CCM huwezi kuuleta kwa vyma vingine. Try to find out nchi gani nyingine zinahusisha vyama na utawala wa serikali zao. Mambo ya ngoswe mwachie mwenyewe.Wanyambo wana msemo wao usemao "mchawi mpe mwanao amlee"... Tumeona mwenyekiti wa taifa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe, akiwa na mafanikio makubwa kama mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini. Chini ya utawala wake ameongeza wabunge wengi, madiwani wengi na wenyeviti wa mitaa wa kutosha. Kwa mafanikio hayo CHADEMA wameona 'potential' yake na kuamua awaongoze kwa miaka kumi na tano, na bado wanataka kumpa mitano mingine.
Vivyo hivyo kwa CCM kwanini wasibadili katiba yao ngazi ya chama, pia ngazi ya nchi kwakua wapo wengi bungeni na ndio wanaongoza serikali. Kufanya marekebisho ya kuondoa ukomo wa mtu kugombea na kutawala hasa akiwa ni mtu mchapakazi, muadilifu, na mleta maendeleo.
Nchini China, xhi ji ping ameongezewa kutawala nchi hiyo mpaka pale atapochoka, yaani kifupi anatawala maisha yake yote. Mnataka tumzungumzie bwana Ping kuhusu maendeleo ya China? Tutakesha..! Nchini Korea kaskazini, urusi, Germany chini ya counsellor angel markel, UK chini ya Queen Elizabeth, mfalme wa Spain, Rwanda, Uganda nk. Kama nchi hizo wameweza Tanzania tutakwama wapi?
Demokrasia sio lazima kila mtu atawale, ni suala la kukubaliana Fulani atutawale kwa kupindi Fulani. Kama CHADEMA tulivyokubaliana.
Ndani ya miaka isiyozidi minne ya huyu jamaa JPM, tumeshuhudia uthubutu wa hali ya juu ambao tukiweka pembeni unafiki, na ubinafsi tutakubaliana the guy anahitaji muda zaidi kutuvusha tulipo.
Miradi mikubwa ya ujenzi kama vile SGR, stigliers gorge, madaraja, barabara, zahanati, elimu bure, nk. Ndani ya miaka minne tu, ifike mahali tuwe na shukrani japokua kodi ni zetu, maana tunajua wengine ni nini walifanyia hizo kodi.
Mie binafsi nna ugonjwa wa kupenda vitu vizuri, kwahyo kwenye siasa mtu anayepiga kazi ndo nampenda, suala la chama kwangu ni option mamba 5, nne za kwanza ni uthubutu, uchapaji kazi, kujituma, na elimu ya mtu. Ndio maana naunga mkono mbowe kuongoza CHADEMA hata miaka 50, pia Magufuli kuongoza hata miaka 30.
The irreplaceable
Chama kinachoongoza nchi ndo kina mandate ya kuongoza serikali. Wanachange according na mahala walipo, wakiwa chamani wanajiita chama cha siasa, wakiwa serikalini ndo wanakua watawala... Nguvu ya chama dola haitenganishwi na serikaliNchi nyingi toa Bongo vyama vya siasa katiba zake hazina uhusiano na serikali. Mfumo wa Tanzania wa CCM huwezi kuuleta kwa vyma vingine. Try to find out nchi gani nyingine zinahusisha vyama na utawala wa serikali zao. Mambo ya ngoswe mwachie mwenyewe.
Wanyambo wana msemo wao usemao "mchawi mpe mwanao amlee"... Tumeona mwenyekiti wa taifa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe, akiwa na mafanikio makubwa kama mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini. Chini ya utawala wake ameongeza wabunge wengi, madiwani wengi na wenyeviti wa mitaa wa kutosha. Kwa mafanikio hayo CHADEMA wameona 'potential' yake na kuamua awaongoze kwa miaka kumi na tano, na bado wanataka kumpa mitano mingine.
Vivyo hivyo kwa CCM kwanini wasibadili katiba yao ngazi ya chama, pia ngazi ya nchi kwakua wapo wengi bungeni na ndio wanaongoza serikali. Kufanya marekebisho ya kuondoa ukomo wa mtu kugombea na kutawala hasa akiwa ni mtu mchapakazi, muadilifu, na mleta maendeleo.
Nchini China, xhi ji ping ameongezewa kutawala nchi hiyo mpaka pale atapochoka, yaani kifupi anatawala maisha yake yote. Mnataka tumzungumzie bwana Ping kuhusu maendeleo ya China? Tutakesha..! Nchini Korea kaskazini, urusi, Germany chini ya counsellor angel markel, UK chini ya Queen Elizabeth, mfalme wa Spain, Rwanda, Uganda nk. Kama nchi hizo wameweza Tanzania tutakwama wapi?
Demokrasia sio lazima kila mtu atawale, ni suala la kukubaliana Fulani atutawale kwa kupindi Fulani. Kama CHADEMA tulivyokubaliana.
Ndani ya miaka isiyozidi minne ya huyu jamaa JPM, tumeshuhudia uthubutu wa hali ya juu ambao tukiweka pembeni unafiki, na ubinafsi tutakubaliana the guy anahitaji muda zaidi kutuvusha tulipo.
Miradi mikubwa ya ujenzi kama vile SGR, stigliers gorge, madaraja, barabara, zahanati, elimu bure, nk. Ndani ya miaka minne tu, ifike mahali tuwe na shukrani japokua kodi ni zetu, maana tunajua wengine ni nini walifanyia hizo kodi.
Mie binafsi nna ugonjwa wa kupenda vitu vizuri, kwahyo kwenye siasa mtu anayepiga kazi ndo nampenda, suala la chama kwangu ni option mamba 5, nne za kwanza ni uthubutu, uchapaji kazi, kujituma, na elimu ya mtu. Ndio maana naunga mkono mbowe kuongoza CHADEMA hata miaka 50, pia Magufuli kuongoza hata miaka 30.
The irreplaceable
Nakubaliana nawewe lakini hawawezi kuamlia vyama vingine kufanya maamuzi. Tuangalie kama Conservative wanaweza lazimisha Labour kufanya uchaguzi. Je, Jubilee yaweza kuwaambia Kanu au wengine wabadili viongozi? Internal affairs za vyama zisihusishwe na uendeshaji wa serikali.Chama kinachoongoza nchi ndo kina mandate ya kuongoza serikali. Wanachange according na mahala walipo, wakiwa chamani wanajiita chama cha siasa, wakiwa serikalini ndo wanakua watawala... Nguvu ya chama dola haitenganishwi na serikali
Asante sana Kamanda.Tumuunge mkonoMbowetanotena
Nashangaa mfuasi wa Lumumba kimekuleta nini hapanajutia muda niliopoteza kusoma hizi pumba zako
Blah Blahndio maana Lisu ameamua kwenda zake ACT WAZALENDO amechoshwa na upuuzi kama huu
Kama kilivyodumaa siyo?Huwezi kupambana na changamoto mpya na ukadhani utazikwamua kwa kutumia mbinu zile zile za zamani!!! Wanachadema inabidi walitambue hilo ama sivyo chama kitadumaa zaidi.
Umemweleza ukweli mchunguKiwango cha ujinga wako na chuki kwa CHADEMA kitafakari urudishe heshima yako.
Asante sana Kamanda wanguMkuu ujue wako wengi na hususani huyu unaemjibu wanaishi kwa kuikashfu CHADEMA. Hamna sababu ya kendelea kumjibu mjinga; bora ni kumuepuka kumjibu aendelee na ujinga wake kwani hana madhara yo yote zaidi ya kutunza tumbo lake.
Inashangaza sana. Jamaa hajamaliza hata hiyo miaka mitano ya awamu ya kwanza, tayari wameshawaza ya baada ya miaka kumi!Kungekuwa hakuna mfumo wa kupokezana wala magu usinge muona kwenye uongozi, tumia ata akili yako kidogo
Baada ya kuanza kusoma aya ya pili nimeacha. Eti CCM? Nchi inaongozwa kwa katiba ya CCM? Ila ngojeni tu, kwenye huu uteuzi wenu wa maoni mtang'oana meno. Kama mitaa tu mshaanza kutwangana huko kwenye ubunge na udiwani mtawekeana sumu.Wanyambo wana msemo wao usemao "mchawi mpe mwanao amlee"... Tumeona mwenyekiti wa taifa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe, akiwa na mafanikio makubwa kama mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini. Chini ya utawala wake ameongeza wabunge wengi, madiwani wengi na wenyeviti wa mitaa wa kutosha. Kwa mafanikio hayo CHADEMA wameona 'potential' yake na kuamua awaongoze kwa miaka kumi na tano, na bado wanataka kumpa mitano mingine.
Vivyo hivyo kwa CCM kwanini wasibadili katiba yao ngazi ya chama, pia ngazi ya nchi kwakua wapo wengi bungeni na ndio wanaongoza serikali. Kufanya marekebisho ya kuondoa ukomo wa mtu kugombea na kutawala hasa akiwa ni mtu mchapakazi, muadilifu, na mleta maendeleo.
Nchini China, xhi ji ping ameongezewa kutawala nchi hiyo mpaka pale atapochoka, yaani kifupi anatawala maisha yake yote. Mnataka tumzungumzie bwana Ping kuhusu maendeleo ya China? Tutakesha..! Nchini Korea kaskazini, urusi, Germany chini ya counsellor angel markel, UK chini ya Queen Elizabeth, mfalme wa Spain, Rwanda, Uganda nk. Kama nchi hizo wameweza Tanzania tutakwama wapi?
Demokrasia sio lazima kila mtu atawale, ni suala la kukubaliana Fulani atutawale kwa kupindi Fulani. Kama CHADEMA tulivyokubaliana.
Ndani ya miaka isiyozidi minne ya huyu jamaa JPM, tumeshuhudia uthubutu wa hali ya juu ambao tukiweka pembeni unafiki, na ubinafsi tutakubaliana the guy anahitaji muda zaidi kutuvusha tulipo.
Miradi mikubwa ya ujenzi kama vile SGR, stigliers gorge, madaraja, barabara, zahanati, elimu bure, nk. Ndani ya miaka minne tu, ifike mahali tuwe na shukrani japokua kodi ni zetu, maana tunajua wengine ni nini walifanyia hizo kodi.
Mie binafsi nna ugonjwa wa kupenda vitu vizuri, kwahyo kwenye siasa mtu anayepiga kazi ndo nampenda, suala la chama kwangu ni option mamba 5, nne za kwanza ni uthubutu, uchapaji kazi, kujituma, na elimu ya mtu. Ndio maana naunga mkono mbowe kuongoza CHADEMA hata miaka 50, pia Magufuli kuongoza hata miaka 30.
The irreplaceable
Huna kazi ya kufanya?Wanyambo wana msemo wao usemao "mchawi mpe mwanao amlee"... Tumeona mwenyekiti wa taifa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe, akiwa na mafanikio makubwa kama mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini. Chini ya utawala wake ameongeza wabunge wengi, madiwani wengi na wenyeviti wa mitaa wa kutosha. Kwa mafanikio hayo CHADEMA wameona 'potential' yake na kuamua awaongoze kwa miaka kumi na tano, na bado wanataka kumpa mitano mingine.