TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Kuna Pandikzi linaitwa Cecil Mwambe limeshatangaza nia, ngoja tusubiri
Chama.cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko kwenye mchakato Wa Uchaguzi wa ngazi ya Taifa. Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti Wa chama hicjo Taiga anayemaliza muds wake, Freeman Mbowe atajitosa tena kuwania nafasi hiyo kwa kipindi kingine (sijui ni cha miaka.mingapi).
Kinachoshangaza ni ni sababu zinazotolewa na Watiifu Wa Mbowe kwanini wanaona anafaa kuendelea kuongoza chama hicho kwa kipindi kingine, eti wengine watakuwa mapandikizi ya CCM.
Ni kweli kwamba yeyote atakayejitokeza kupambana na Mbowe atakuwa ni pandikizi la CCM? au hii ndiyo namna ya kuwazuia wengine kuchukua fomu wakiogopa kuitwa jina baya la pandikizi la CCM? CHADEMA kuna Mbowe tu? Tukubaliane na kuamini hivyo?
Binafsi naona kama kauli hii inakidhalilisha Chama na Wanachama kwa ujumla.
View attachment 1225568
Na kweli tangu mmewaondoa kwa madai kuwa ni mapandikizi na wasaliti chama kimefanya nini cha maana?tuliwapoteza akina Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Majembe mengine kwa mambo ya hovyo hovyo kama haya.
Ni dhahiri kuwa kwa sasa Fukuto la uchaguzi mkuu wa ndani kwa chama kikuu na tishio cha upinzani nchini limepamba moto.
Vichwa vya habari vya vyombo mbalimbali vimepambwa na habari hizi lakini hususani nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa chama anayetarajiwa kuchaguliwa Decemba mwaka huu.Ni nafasi muhimu sana kwani ndiyo inayoamua hatma ya chama kwa miaka mingine mitano.
Freeman Mbowe jabali la kisiasa Tanzania na tajiri mwenye ukwasi mkubwa aliyeamua kuweka starehe pembeni na kuitikia wito wa kuwakomboa wananchi kupitia chama alichoshiriki kukiasisi cha CHADEMA amekitumikia chama hicho kwa awamu 3 sasa na akitarajiwa kupata ushindi mkubwa kuongoza awamu nyingine ya nne hapo December.
Mafanikio ya Freeman Mbowe ndani ya CHADEMA yanahitaji vitabu na vitabu kuviandika kwani tunaweza kusema ni Mwenyekiti aliyewezesha chama alichokiongoza kupata mafanikio makubwa zaidi kwa Tanzania tangu mfumo wa vyama vingi uanze 1992.
Freeman Mbowe anao wapinzani wake wanaotaka aondoke madarakani hata leo na asipewe nafasi nyingine kabisa ya kukiongoza chama hicho.Lakini bahati nzuri ni kwamba wapinzani wote wa Freeman wanatoka nje ya chama hicho na akitokea mtu kujifanya anampinga Mbowe akiwa chini ya Chadema ni wazi ni kibaraka mwenye lengo la kuvuruga umoja ndani ya chama.Tumeshuhudia hivi karibuni waasi wachache wabunge walioanza kumtukana Freeman na baada ya muda mchache wote wakaunga mkono juhudi na kujiunga na CCM.
Wengine tunajiuliza kwanini wasiomtaka Freeman watoke nje ya chama hicho? Kwamba wanaoipenda Chadema ni wanaCCM na vibaraka wao? Ili iweje??
Tutarajie kushuhudia makubwa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu wa chama mwishoni mwa mwaka huu.Tusishangae kuona maadui wa Chadema wakitumia kila njia kutaka kuichagulia Chadema kiongozi.Na kila adui wa Chadema ombi lake ni moja Kwamba Mbowe Hafai na Asichaguliwe tena.Hiyo ndiyo kaulimbiu ya kila asiyeitakia mema Chadema.
Jambo la kumshukuru Mungu kwa sasa ndani ya Chadema wapo viongozi wengi watiifu kwa Katiba ya chama.Viongozi wengi wanaomtii na kumheshimu Freeman Mbowe kama Jabali la kisiasa Tanzania.Viongozi wanaoamini bila jitihada kubwa za Mbowe basi CDM ingekuwa katika kaburi la kisiasa leo hii kama CUF,NCCR,TLP na wengine.
Kati ya viongozi wengi wanaomtii na kumheshimu Mbowe nimtaje mmoja tu Tundu Antipas Mughwai Lissu.Hakuna asiyemjua jemedari huyu ambaye pamoja na usomi wake na umaarufu wake duniani kote Lakini kila azungumzapo hakosi kumtaja na kumpa heshima Freeman Mbowe kwamba ni Profesa wa upinzani Tanzania.
Kwamba kwa aliyopitia na heshima na uvumilivu wake kwa Chama chake basi anastahili siku moja kuvikwa Taji.Kwamba ni Hazina ndani ya Chadema.Kwamba ni Hazina ndani ya nchi.Kwamba siku moja miaka ijayo anafaa kabisa kuchukua mikoba.Kwamba anastahili kabisa kuwa mbadala wa Jabali la kisiasa Tanzania.Heshima nyingi zimwendee Tundu Lissu.
Nimalizie kwa kusema bado tunamhitaji Freeman Mbowe walau kwa miaka mingine mitano.
#Mbowe Tano Tena#
Ccm inapendwa na wazee na wasio na elimu(akili)Hakuna mtu wa ccm ambayr utesema ni intelligent za maana.Nianze kwa kuwataja.....1.magufuli2.kabudi3.Bana.4Tulia.5Nimrod mkono 6.Tibaijuka7.Kigwangwala8.bashiru.9.Membe.10.katibu wizara ya maji naniliuuu yule11.Lipumba
Ukija upinzani 1.Lissu,2Kambole 3.Kibatala.4.Zitto.5Maalim seif 6.Karume F.7.......Just to mention few of them lakin nikwambie hao wachache tukiweka mdahalo pale Nkurumah hall tukaweka mada Lakima ccm wakimbie.Maana wengi wao PhD zao na Degree ni za kubebwa hasa yule namba 1.
Ndio maana alituulia mjukuu wetu kwa kuhojiCcm inapendwa na wazee na wasio na elimu(akili)Hakuna mtu wa ccm ambayr utesema ni intelligent za maana.Nianze kwa kuwataja.....1.magufuli2.kabudi3.Bana.4Tulia.5Nimrod mkono 6.Tibaijuka7.Kigwangwala8.bashiru.9.Membe.10.katibu wizara ya maji naniliuuu yule11.Lipumba
Ukija upinzani 1.Lissu,2Kambole 3.Kibatala.4.Zitto.5Maalim seif 6.Karume F.7.......Just to mention few of them lakin nikwambie hao wachache tukiweka mdahalo pale Nkurumah hall tukaweka mada Lakima ccm wakimbie.Maana wengi wao PhD zao na Degree ni za kubebwa hasa yule namba 1.
Simiyu yetu,UMERUDI.Karibu sana bangosha.Bagonza ni miongoni mwa maaskofu wanaopata Ruzuku za chadema kupitia mbowe
Wengi wanakomenti bila ya kuelewa kilichomo ndani ya habari.Umekurupuka Etwege punguza haraka kwani ni mashindano ya kujibu? Soma vizuri uzi mkuu
CCM iliwaunga mkono akina Askofu Tutu na wenzake katika kuuondoa utawala wa kibaguzi Afrika Kusini, CCM ina mbunge anayemiliki kanisa mchungaji mama Lwakatare lakini inambeza mchungaji Msigwa asiye na kanisa! Kutokana na kauli tata za CCM ndiyo sababu uchumi wa Tanzania unadumaa na tumebaki kufikiria manunuzi ndiyo kukua kwa uchumi!Baba Askofu, labda utuambie hiyo injili imetoka kitabu kipi ili sisi waumini wako tuelewe, maana naona siasa imechukua nafasi kubwa kwenye maisha yako kuliko neno LA Mungu!
Au au uliingia taranta isiyo yako?
Kinana, Makamba`s na Nape, walikuwa wanaifaidi hii nchi kuliko wewe!Kwa hiyo Chadema inaiga ccm?
Alafu mkiitwa nyumbu mnakasirika?
Kwahiyo unataka kutuambia mfumo wa uchaguzi wa CCM ni wa hovyo kuigwa.Kwa hiyo Chadema inaiga ccm?
Alafu mkiitwa nyumbu mnakasirika?
Mbowe kama mwanachama anaweza akaamua kutogombea, na anaweza kugombea. Binafsi nitachukua form za uchaguzi kwa nafasi ya uenyekiti. Hata wewe unakaribishwa usijione mnyonge, nchi yetu hii ukihisi unatosha, siyo vibaya ukijaribu kushindana. CHADEMA ni chama cha uma siyo mali ya mtu, vivyo hivyo kwa ccm na vingine vilivyo sajiliwa, usitishwe na ushabiki wa wafuasi.Duh, hii ya kung'atuka nayo kali.
Matumizi sahihi ya kung'atuka ni kujiondoa kabla hujafika mwisho wa uongozi wako. Mwalimu Nyerere alipoachia urais kwa Mwinyi ile 1985 haku ng'atuka, bali aliachia na hakugombea. Bali baada ya Mwinyi kuchaguliwa kuwa rais wa JMT, Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Chairman wa CCM, ndipo sasa akang'atuka na kumpisha Mwinyi uenyekiti kabla ya muda wa uchaguzi.
Kwa CHADEMA huu ni muda wa uchaguzi, ni either Mbowe asigombee au kumpisha mwingine lakini sio kung'atuka
P
Tusidanganyane, mbowe hawezj achia uenyekiti! Ukitaka kuamini hulo wekeni ukomo kwenye katiba yenu, yaani mwisho miaka 10, alafu ndio utaona kama yupo tayari!Mbowe kama mwanachama anaweza akaamua kutogombea, na anaweza kugombea. Binafsi nitachukua form za uchaguzi kwa nafasi ya uenyekiti. Hata wewe unakaribishwa usijione mnyonge, nchi yetu hii ukihisi unatosha, siyo vibaya ukijaribu kushindana. CHADEMA ni chama cha uma siyo mali ya mtu, vivyo hivyo kwa ccm na vingine vilivyo sajiliwa, usitishwe na ushabiki wa wafuasi.
Hakuna mkubwa chamani, wanachama wote ni sawa.
Ang'atuke asing'atuke, agombee asigombee CHADEMA itakuwepo tu, kama ilivyo DP, TPP, UMD na PONA au TADEA.
Karibu chamani.
Kwa hiyo Chadema inaiga ccm?
Alafu mkiitwa nyumbu mnakasirika?
Kwani uwenyekiti ni mali yake?! Uwepo ukomo au usiwepo ukomo, ile ni nafasi ya kuchaguliwa, mwacheni agombee tatizo lenu nini?! Mimi nitachukua form na nitagombea, nawe karibu.Tusidanganyane, mbowe hawezj achia uenyekiti! Ukitaka kuamini hulo wekeni ukomo kwenye katiba yenu, yaani mwisho miaka 10, alafu ndio utaona kama yupo tayari!
"kukasilika" ndio nini?Kwa hiyo Chadema inaiga ccm?
Alafu mkiitwa nyumbu mnakasirika?