Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,948
- 19,842
Jikite kwenye hojaUmepewa kama nani? Acha unafiki mkuu

Hayo ndio matumizi ya ruzuku...mwoga sanaHabari.
Kwa masikitiko makubwa nimepewa taarifa kutoka ndani ya Chadema kwamba ,baada ya msajili wa vyama vya siasa kuiandikia Chadema ijieleze kwa nini hawafanyi uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kinyume na katiba ya chama ,sasa Mbowe ameanza kuhaha!!
Kinyume kabisa na katiba ya chama na ni uvunjwaji mkubwa wa katiba ya chama kinachojiita cha kidemocrasia nchini ,sasa Freeman Mbowe amesambaza vijana mitandaoni wanaoendesha kampeni ya ## mbowe 5 tena#, Lengo kubwa la kampeni hii ni kumfanya Mbowe aonekane anakubalika sana ndani ya chama na awe mwenyekiti wa milele !!
Ukweli ni kwamba Mbowe tangu alipokiuza chama kwa Lowasa hakubaliki tena ndani ya chadema kwa sasa ndiyo maana kuna kundi la wabunge wamekataa kuchangia chama kila mwezi.
Vijana mliosambazwa mitandaoni mkae mjiulize je Mbowe ndiyo ana akili pekee ya kuiongoza chadema hamna mwingine? Na kama jibu ni ndiyo basi ili kukamilisha huo udikteta ondoeni neno democrasia kwenye chama chenu.
View attachment 1225084
Wewe wasemaAha haaa
😁😂🤣
Maoni upupu.
Asante sana Kamanda wanguMajengo ya chama yatajengwa na wanachama wote , si mbowe pekee
Na nyie mumesambazwa kufanya nini humu?Habari.
Kwa masikitiko makubwa nimepewa taarifa kutoka ndani ya Chadema kwamba ,baada ya msajili wa vyama vya siasa kuiandikia Chadema ijieleze kwa nini hawafanyi uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kinyume na katiba ya chama ,sasa Mbowe ameanza kuhaha!!
Kinyume kabisa na katiba ya chama na ni uvunjwaji mkubwa wa katiba ya chama kinachojiita cha kidemocrasia nchini ,sasa Freeman Mbowe amesambaza vijana mitandaoni wanaoendesha kampeni ya ## mbowe 5 tena#, Lengo kubwa la kampeni hii ni kumfanya Mbowe aonekane anakubalika sana ndani ya chama na awe mwenyekiti wa milele !!
Ukweli ni kwamba Mbowe tangu alipokiuza chama kwa Lowasa hakubaliki tena ndani ya chadema kwa sasa ndiyo maana kuna kundi la wabunge wamekataa kuchangia chama kila mwezi.
Vijana mliosambazwa mitandaoni mkae mjiulize je Mbowe ndiyo ana akili pekee ya kuiongoza chadema hamna mwingine? Na kama jibu ni ndiyo basi ili kukamilisha huo udikteta ondoeni neno democrasia kwenye chama chenu.
View attachment 1225084
HahahaHayo ndio matumizi ya ruzuku...mwoga sana
Magufuli 10 tenaMbowe 5 tena
Sawa tu mbona ccm wanataka kuitawala Tanzania milele?Habari.