Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Acha kujisahaulisha. Mbowe ameshika akili zenu na atawaibia mpaka mkome. Magufuli atatawala hadi 2025 na baada ya hapo atakuja kada mwingine was CCM kuendwlwa na uongozi. Sisi hatutaongozwa na nyani ktk nchi yetu. CCM in nambari one
Unasema ya Mbowe, huyo mwenyekiti wa CCM anaesema hadharani kuwa akiondoka nchi imekwisha mbona huongei?
 
Acha kujisahaulisha. Mbowe ameshika akili zenu na atawaibia mpaka mkome. Magufuli atatawala hadi 2025 na baada ya hapo atakuja kada mwingine was CCM kuendwlwa na uongozi. Sisi hatutaongozwa na nyani ktk nchi yetu. CCM in nambari one
Sasa kina kuuma nini kama mbowe anaiba na kuna waliokubali kuibiwa? Kalagabaho na roho yako mbaya, wewe unaona huibiwi eti awamu hii ina viwanda zaidi ya elfu tano thubutu, viwanda ya kufikirika. Mtaabudu sana na kusujudu lakini hamtalazimisha wote wasujudu.
 
Kama mtaradharu katiba ya chama katiba ya Nchi mtaieheshimu vipi.?

Chama ndio msingi wa serikali kila kitu kinaanzia huko...
Kwa hiyo wasio na chama serikali haiwahusu ? Kwani sasa chama gani kinaongoza serikali zaidi ya kichaa mmoja?
 
Acha kujisahaulisha. Mbowe ameshika akili zenu na atawaibia mpaka mkome. Magufuli atatawala hadi 2025 na baada ya hapo atakuja kada mwingine was CCM kuendwlwa na uongozi. Sisi hatutaongozwa na nyani ktk nchi yetu. CCM in nambari one
bora hata nyani kuliko ngiri waharibifu nyie.
 
Nyie akina nani?
Kwa mantiki hii na sisi bado tunamhitaji MAGUFULI.

Rais jasiri na mwamba wa maendeleo kwa walau miaka kumi na tano mbele

Na tukiamua hivyo tafadhali tuheshimiwe na tusiambiwe tunataka kuisigina katiba kwani na sisi tunawavumilia wenzetu mlioamua kumfanya mbowe kua mfalme wa chama

Au mnataka anye kuku tu akinya bata awe AMEHARA?
 
Acha kujisahaulisha. Mbowe ameshika akili zenu na atawaibia mpaka mkome. Magufuli atatawala hadi 2025 na baada ya hapo atakuja kada mwingine was CCM kuendwlwa na uongozi. Sisi hatutaongozwa na nyani ktk nchi yetu. CCM in nambari one

Bora hata ya kuongozwa na hao nyani, ila siyo nyinyi mafisi. Mnaturudisha sana nyuma kimaendeleo na hizo siasa zenu za ujamaa na udikteta uchwara. Muda utakapowadia, tutawaondoa tu kwa nanma yoyote ile.
 
Mkuu acha kukalili. Hili ni jukwaa huru kila mtu Ana haki ya kutoa maoni yake. Umekaririshwa kila jambo Lumumba.
Ndo tabia yao hawa jamaa wakiona umetoa hoja tofauti na matakwa yao wanakuita eti ni CCM sijui hawa jamaa wamerogwa na nani
 
Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie

– Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote za chama. Mbowe anaendesha chama kama ofisi binafsi.n.k

Maneno haya yanajirudia kila msimu wa uchaguzi wa chama hicho.

Tuliyasikia wakati wa Chacha Wangwe. Wakati wa Zitto Kabwe. Sasa Kigogo wa ‘twita’ anayarudia kwa namna ileile. Kwa mwenye akili timamu hii inachosha.

Kama hizi ndiyo propaganda basi hizi ni za kipumbavu. Kichekesho zaidi ni wanaozitumia kushindwa kuelewa kuwa hazina mashiko. Uchaguzi wao ukiisha na haya maneno yanaisha.

Tuwekane sawa kwenye hili. Chama kinachopigania ukombozi au kutaka kushika dola, kikipata kiongozi imara hakimbadilishi ovyoovyo. Hii ni ‘prinsipo’. Yasser Arafat kafa akiwa kiongozi wa PLO kwa miaka mingi kule Palestina.

Dunia nzima, kiongozi wa namna hii huondolewa kwa kushindwa kustawisha chama na si vinginevyo. Huyu ndiye Mbowe.

Ukiwa na kiongozi asiye na msimamo mtaishia kuwa na vyama visivyosikika. Akili za Mbowe, msimamo wake, uchumi wake. Ndiyo yaliyopelekea akute chama kina wabunge watano na sasa wako sabini.

Unamuondoaje? Labda kama huna nia ya kushika dola. Propaganda za kula ruzuku lazima zife kibudu.

Kuna watu wakisikia shamba la Mbowe limeharibiwa na DC wanawaza matembele, nyanya chungu, sukuma wiki, kabeji na matuta ya viazi – wanalifananisha na mashamba ya bibi na babu zao huko Mpwapwa au Malinyi kama siyo Matombo.

Tunatakiwa kumshangaa Mbowe kuacha utajiri chekwa wa familia yake na kuja kuhangaika na siasa huku mitaani na kina Sugu.

Mwanzoni watu walikuwa ‘bize’ na Kigogo huko ‘twitani’. Kuna wakati akataka aniteke kiakili na mimi. Lakini kuanzia kwenye suala la ‘flash’ za ajali ya yule kigogo wa ukweli. Nikaanza kupata shaka. Ni sampuli ya watu wanaoamua kujipa nafuu ya nafsi zao kwa kuandika wanachojisikia.

Lowassa, aliitwa fisadi kila siku. Watu wakachoka kuona mtu mmoja anabebeshwa zigo lote la ufisadi. Kwanini hashtakiwi? Kwanini sasa hafungwi? Maswali yasiyo na jibu yalipelekea ageuke shujaa 2015.

Ndiyo Mbowe, shutuma anazopewa mbona Msajili wa vyama na CAG hawajawahi kusema lolote? Hata wapinzani wa Mbowe wamechoshwa nazo.

Tufanye siasa safi, zenye tija na manufaa kwa nchi. Hizi za ovyo ni upuuzi.

#Mbowe Tano Tena#
NAKUSHAURI UWE UNAANDIKA MENGINE .
mfano andika Kwann Kichaa alitupora KOROSHO ZETU NA HAJALIPA MPAKA LEO?
Wewe kila saa mbowe mbowe huishi kuzusha?
kafir
 
Umeongea vizuri sana mkuu Molemo. Halafu cha ajabu maCCM ndio yanaumia sana kwa Mbowe kuendelea kuongoza CHADEMA kwa mafanikio utadhani mambo ya CHADEMA yanawahusu.
 
Tetea upendavyo lakini ukweli ni kuwa muda wa Mbowe kuendelea kukaa madarakani umepita. Ni kipi ambacho Mbowe kwa sasa unaweza sema anakifanya hapo cdm ambacho kinampa uhalali wa kubaki kama mwenyekiti? Kama ni kura zinaporwa kama kawaida tena kwa sasa ni zaidi. Kama ni viongozi wamehama kibao kwenda ccm, kama ni nguvu ya umma hana uwezo wa kuitisha maana hadi tunavyoongea ana kesi ya kubambikiwa. Ukimuacha Lissu ambaye sababu yake ya kuvuliwa ubunge inafahamika ni mkakati wa rais huku akiwa matibabu, je ni kipi kilimshinda kumuhoji Nassari kutokuhudhuria bunge mpaka akafutwa ubunge?

Ni kweli ccm chini ya Magufuli anaihujumu cdm, lakini tuna uwezo wa kujua ipi ni hujuma dhidi ya cdm, na kupi ni kung'ang'ania madaraka kwa Mbowe. Sisi ni washabiki wa cdm na wanachama na tunaijali cdm kama taasisi, ila hatuna ujinga wa kung'ang'ania kiongozi ambaye tunaona kabisa uwezo wake umegota na anakirudisha chama nyuma. Historia ya Mbowe ndani ya cdm isiwe kigezo cha kuendelea kuwa mwenyekiti, na wala hujuma za rais dhidi ya cdm isiwe kichaka cha Mbowe kung'ang'ania madaraka.
The solution is simple. Kama Mbowe kang'ang'ania madaraka na hana uwzo wa kuongoza tena, subiri uchaguzi ufike mumuondoe kidemokrasia. Au wewe unataka aondoleweje mkuu? Kwa marungu na mapanga??
 
The solution is simple. Kama Mbowe kang'ang'ania madaraka na hana uwzo wa kuongoza tena, subiri uchaguzi ufike mumuondoe kidemokrasia. Au wewe unataka aondoleweje mkuu? Kwa marungu na mapanga??
Tunashukuru Mungu Wanachadema wamejibu kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi wao wa chama
 
Tunashukuru Mungu Wanachadema wamejibu kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi wao wa chama
Hili ndilo jambo la msingi. Sasa maCCM waliokuwa wanajitekenya na kucheka wenyewe kwamba hawamtaki Mbowe wasage sumu wanywe. Au kama hawampendi wamuue kama walivyokaribia kumuua Tundu Lissu. Unashangaa majitu uchaguzi hauyahusu lakini yanakosa usingizi kwa sababu ya Mbowe. Ajabu sana😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom