Kifungu gani cha katiba ya chadema kinachotamka hiyo?!Mwanachama ambaye hajafikisha miaka 10 kwenye chama hawezi kuwa mwenyekiti wa chama chetu Taifa
Hiyo ni kwa mjibu wa katiba au vibaraka wa Mbowe.?Mwanachama ambaye hajafikisha miaka 10 kwenye chama hawezi kuwa mwenyekiti wa chama chetu Taifa
Kwa hiyo kwa sasa hivi ni Mbowe tu ndio anaeijua miiko ya Chama.?Ni lazima anayetaka uenyekiti wa chama Taifa awe ameiva kiitikadi na aliyekulia ndani ya chama na anayejua miiko ya chama.
CCM mlitaraji Mbowe atoke leo?""Lakini bahati nzuri ni kwamba wapinzani wote wa Freeman wanatoka nje ya chama hicho na akitokea mtu kujifanya anampinga Mbowe akiwa chini ya Chadema ni wazi ni kibaraka mwenye lengo la kuvuruga umoja ndani ya chama.""
===============
Hii nukuu ndio nimeilewa zaidi kwamba kwa sasa yeyote atakaechukua fomu kupambana na Mbowe moja kwa moja ni msaliti.
Na kwamba Lissu anafaa ila sio leo wala kesho siku za mbeleni huko...
Moja kwa moja ni kwamba Mbowe hatoki leo wala kesho...
Freeman Mbowe Tano TenaKwa hiyo kwa sasa hivi ni Mbowe tu ndio anaeijua miiko ya Chama.?
Anayempinga Mbowe walau kwa sasa ni adui wa chamaCCM kama gari ya mkaa haiwezi kwenda safari ndefu,Mbowe tano tena.
Katiba inaruhusu mkuuMbowe achukue hata 100yrs again kama katiba inaruhusu lakini!
Historia ni mwalimu mzuri.... Hakuna aliewahi kujaribu kumpinga Mbowe akabaki salama.*Na Kwinyara Kwintara*
Mbunge wa Ndanda ndugu Cecil David Mwambe, ameweka wazi nia yake ya kuwania uenyekiti ndani ya CHADEMA. Kwanza nampongeza na ni haki yake kikatiba ndani ya misingi ya CHADEMA.
Sitoandika mambo mengi kuhusiana na Mh. Huyu ila nataka niweke wazi mambo muhimu tu ya angalizo.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri kabisa Cecil Mwambe ni miongoni mwa Wabunge na wanachama wa CHADEMA waliowahi kufika bei ya kununulika na CCM ikiwa chini ya serikali inayoongozwa na Magufuli.
Mwambe alikata tuhuma hizo kujisafisha lakini dhamira ya Mwambe ni kuifanyia kazi CCM. Mwambe amekubali kupokea pesa kutoka CCM ili kuendesha kampeni za kuwania uenyekiti ndani ya CHADEMA, Mwambe amekubali kufanya kazi na idara ya usalama kitengo cha siasa Ikulu kinachodhamiria kumuondoa Mbowe kwenye uenyeketi wa CHADEMA kikiamini uhai mkubwa wa CHADEMA ni mwenyekiti na katibu wa chama husika.
Vikao kadhaa vimefanyika kumuhadaa Mwambe asihamie CCM kwanza maana watamtumia akiwa ndani ya CHADEMA kuiua CHADEMA. Cecil Mwambe ni wakala wa kuvujisha siri nyingi za CHADEMA kwa serikali na CCM, amekua miongoni mwa wale wabunge waliodai kupinga kukichangia chama chao kikatiba.
Kwa ufupi Mwambe ni wakala na pando la CCM ndani ya CHADEMA,wenye masikio na wasikie, na kama mnataka uhai wa CHADEMA, CECIL DAVID MWAMBE asipewe hata nafasi ya kujaza fomu, Msajili na Serikali wanamtaka Mwambe awe Mwenyekiti wa CHADEMA na watampitisha kwa nguvu kama ilivyokua kwa Lipumba CUF ili asimamie dhamira ya CCM kuiua CHADEMA.
Cecil D. Mwambe hafai kua Mwenyekiti wa CHADEMA, anapwaya na ni pando la CCM ndani ya CHADEMA kwasasa.
Shida sio kutoka Mbowe tunataka katiba ifuatwe na Demekrasia itawale.CCM mlitaraji Mbowe atoke leo?
Shocking.Anayempinga Mbowe walau kwa sasa ni adui wa chama
Siyo lazima kila kitu kiandikwe.Hebu niambie nyie CCM kuna sehemu imeandikwa lazima Rais awe Mkiti wa chama?Kifungu gani cha katiba ya chadema kinachotamka hiyo?!
Mwenye hofu ni nani kama siyo CCM? Tukuulizeni khofu ya nini?Shida sio kutoka Mbowe tunataka katiba ifuatwe na Demekrasia itawale.
Kama anakubalika hofu ya nini?
Muda uliopoteza kuandika hii TAKATAKA hapa si ungeutumia kujifunza Kiswahili vizuri??Mpk sasa Mbowe siyo Mwenyekiti wa CHADEMA na kwa vyovyote vile Ubunge Jimbo la Hai (2020- 2025) hawezi kuupata. Watu tumemchoka.
Atakuwa mshauri wa chama na mjumbe wa CC !
Kama ujui katiba ya Chadema mbona povu linakutoka sanaHiyo ni kwa mjibu wa katiba au vibaraka wa Mbowe.?
Hofu ya kuitisha uchaguzi, kwa nini kumekua na janja janja nyingi kwenye kuitisha uchaguzi..?Mwenye hofu ni nani kama siyo CCM? Tukuulizeni khofu ya nini?