Ansbert Nguro: Hakuna wa kuifuta historia ya Mbowe CHADEMA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,576
Reaction score
103,376
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.

Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.

Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.

Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.

Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.

Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.

Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.

My take:

50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).

Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.

Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being

Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.

All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
 
Attachments

  • HT7dpF-WYAALfgi.jpg
    HT7dpF-WYAALfgi.jpg
    306.9 KB · Views: 6
Walau aende akashuhudie basi hukumu ya Lissu hiyo Novemba 6!
Wakosoaji wake kwa sehemu fulani wako sahihi.

Haiwezekani aliposhtakiwa kwa ugaidi wa mchongo, wapenda haki wote wakiongozwa na Lissu waliungana na kupaza sauti kumpigania! Halafu leo Lissu yuko ndani kwa uhaini wa mchongo, ameshindwa kuhudhuria mahakamani, na badala yake amekuwa akionekana kwenye matukio ya mwenyejiti wa chana tawala. Huu ni usnitch.
 
Kosa lake kubwa mbona hakusema kitu kuwafariji watanganyika waliouawa MO29 ila alipata nafasi kwenda Kizimkazi kumpa pole Tanganyika Butcher, au kwake mauwaji hayamuhusu
 
Wewe Ngurumo nikuulize maswali mawili

1. Ni sawa Mbowe kuzira kila kitu baada ya kukosa uenyekiti kwenye kura halali? Kwann alizira? Ina maana kwake yeye kuwa chadema ni lazima awe mwenyekiti? Hapo nani mwenye shida wanachama au yeye?
2. Achilia mbali siasa na mambo ya uchaguzi wa mwenyekiti, unaona ni sawa kabisa Mbowe kushindwa kwenda kumuona Lissu aliye gerezani mwaka mzima? Hata siku moja? Hata kwenda tu kama brother?

Mbowe hakuna anaemchafua, amejichafua yeye mwenyewe
 
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.

Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.

Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.

Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.

Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.

Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.

Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.

My take:

50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).

Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.

Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being

Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.

All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Kwani historia ya shetan imefutwa, huyu ngurumo mbona siku hizi chenga sana. Historia yako inaweza isifutike lakini ni historia ipi? by the way kama hajui mbowe historia ambayo haitafutika ni umamluki wake ambao chadema hawakuufahamu mapema mpaka alipopigwa chini uenyekiti na kwa ujinga wa mazwazwa yake kina nyerere walifikiri chadema ingekufa sasa imekuwa fire kuliko hata kipindi cha mbowe wao.
 
Mbowe gani huyo ‽ au huyu
 
Attachments

  • FB_IMG_1648313796356.jpg
    FB_IMG_1648313796356.jpg
    65.7 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1648208882399.jpg
    FB_IMG_1648208882399.jpg
    68.8 KB · Views: 6
Kwani historia ya shetan imefutwa, huyu ngurumo mbona siku hizi chenga sana. Historia yako inaweza isifutike lakini ni historia ipi? by the way kama hajui mbowe historia ambayo haitafutika ni umamluki wake ambao chadema hawakuufahamu mapema mpaka alipopigwa chini uenyekiti na kwa ujinga wa mazwazwa yake kina nyerere walifikiri chadema ingekufa sasa imekuwa fire kuliko hata kipindi cha mbowe wao.
Mbowe aliijenga Chadema na upinzani kwa ujumla.
Ni kipindi alipokuwa active matokeo ya sasa za upinzani yalionekana dhahiri ndani na nje ya serikali.
 
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.

Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.

Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.

Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.

Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.

Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.

Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.

My take:

50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).

Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.

Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being

Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.

All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Ayatollah Mbowe has no one to blame but himself; his downfall was paved with critical strategic blunders. First, his push to seek reelection in perpetuity was guaranteed to fracture the party into bitter loyalist and dissident factions. Second, his scorched-earth campaign against internal opposition stood zero chance of preserving his legacy.

Unsurprisingly, his failed attempt to cling to power left the party deeply scarred. Following his defeat in January 2025, his diehard supporters (who went on to call themselves the G55) conspired to defect en masse to CHAUMMA, a hitherto obscure, briefcase political party.

Looking at the wreckage left behind, is there any reason to believe that someone else is now actively trying to destroy what remains of Ayatollah Mbowe’s legacy? I would say, “gimme a break”!
 
Walau aende akashuhudie basi hukumu ya Lissu hiyo Novemba 6!
Wakosoaji wake kwa sehemu fulani wako sahihi.

Haiwezekani aliposhtakiwa kwa ugaidi wa mchongo, wapenda haki wote wakiongozwa na Lissu waliungana na kupaza sauti kumpigania! Halafu leo Lissu yuko ndani kwa uhaini wa mchongo, ameshindwa kuhudhuria mahakamani, na badala yake amekuwa akionekana kwenye matukio ya mwenyejiti wa chana tawala. Huu ni usnitch.
Yuko bize na biashara zake, hana muda wa kuhudhuria kesi ya mhaini
 
Hata shetani haiwezi kufutwa historia yake kwani itabakia daima kuwa alama ya uovu na usaliti na uwepo wa historia yake inatoa somo lidumulo la alama ya uovu kwa vizazi na vizazi.....
Kamq sio mbowe, hata wewe kapuku usingeijua chadema
 
Ayatollah Mbowe has no one to blame but himself; his downfall was paved with critical strategic blunders. First, his push to seek reelection in perpetuity was guaranteed to fracture the party into bitter loyalist and dissident factions. Second, his scorched-earth campaign against internal opposition stood zero chance of preserving his legacy.

Unsurprisingly, his failed attempt to cling to power left the party deeply scarred. Following his defeat in January 2025, his diehard supporters (who went on to call themselves the G55) conspired to defect en masse to CHAUMMA, a hitherto obscure, briefcase political party.

Looking at the wreckage left behind, is there any reason to believe that someone else is now actively trying to destroy what remains of Ayatollah Mbowe’s legacy? I would say, “gimme a break”!
Kama sio Mbowe, Chadema ingekuwa kama chama cha dovutwa tu, Mbowe ameijenga chadema kwa pesa zake mwenyewe
 
Kwani historia ya shetan imefutwa, huyu ngurumo mbona siku hizi chenga sana. Historia yako inaweza isifutike lakini ni historia ipi? by the way kama hajui mbowe historia ambayo haitafutika ni umamluki wake ambao chadema hawakuufahamu mapema mpaka alipopigwa chini uenyekiti na kwa ujinga wa mazwazwa yake kina nyerere walifikiri chadema ingekufa sasa imekuwa fire kuliko hata kipindi cha mbowe wao.
Mbowe ameijenga chadema ikawa imara mpaka wewe ukaijua, angeamua kuiua, hata wewe usingeijua, ametumia rasilimali zake kuijenga chadema
 
Kosa lake kubwa mbona hakusema kitu kuwafariji watanganyika waliouawa MO29 ila alipata nafasi kwenda Kizimkazi kumpa pole Tanganyika Butcher, au kwake mauwaji hayamuhusu
Waliokufa kwenye uchaguzi ni kosa lao kuleta vurugu na kutaka kuipindua serikali
 
Kama mtu hahudhulii hata vikao vya chama kwanini historia yake ambacho hahudhulii ibaki?Huyu kasusia chama ambacho ni kikubwa kuliko Tundu Lisu aliyemshinda uchaguzi.Ngoja tuone atavyojenga historia ccm kama alivyojenga chadema.Sioni combination ya kisiasa kama ilivyokuwa cdm
 
Back
Top Bottom