Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Hapo umetoa neno. asiachwe akawa peke yake muda mrefu. Anahitaji watu wa kuwa karibu naye muda mrefu na kumpa maneno ya faraja na kuonyesha alichofanya sio cha ajabu sana na hata akitumbuliwa uwaziri si mwisho wa mambo au maisha. Na aelezwe bado anayo nafasi ya kuwatumikia wananchi akiwa mbunge tu wa kawaida
 
Asante sana my dear. Watu wameniroga sana.. nilikuwa naona limeandikwa tusi 😭😭
20201208074606_1061664188_219894820840497605_462_720_85_webp.jpg
 
Yawezekana Hadi haja ndogo imemtoka maana hayo matukio huenda sambamba.

Pole yake!
 
WAKATI MWINGINE NDUGU WANASIASA TUWE NATABIA YA KUMUOMBA MUNGU. HASA KWA WAKRISTO WENZANGU, TUKUMBUKE MAOMBI KWA KILA WAKATI NA KWA KILA JAMBO. TUSIWE TUNAJIAMINISHA ELIMU ZETU NA UJUAJI WA SIASA TUKAZANI TUNAWEZA KILA KITU, TUKUMBUKE MAOMBI NISIRAHA. TENA TUOMBE BILA KUKOMAA. IMENIUMA SAANA KUMUONA NDUGU YA NGU HUYU ANASHINDWA KUAPA NA KUKOSA NAFASI NYETI KAMA HIII. SHETANI HALALI NA MAPEPO NA MAJINI WACHAFU NA MAWAKALA WA SHETANI WAKO KAZINI MASAA YOTE. MUNGU AMPENGUVU NA USITAHIMILIVU MBUNGE HUYO. AMINA
Wana siasa wengi sana kama sio wote wanaamini sana ushirikina kiasi cha hata kusahau kuwa kuna Mungu mwenye kuweza yote...
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Uko sawa mkuu!!
 
Ni kweli...washauri wa Rais wamshauri Rais ili amteue kwa nafasi nyingine...
 
Kuna kitu kinaitwa 'panic attack' au 'panic anxiety', ni miongoni mwa magonjwa ya akili. huwapata watu hasa wanapokuwa kwenye hadhara ambayo inawafanya wasiwe confirtable nayo. panic attack ni moja kati ya aina ya 'anxiety' ambayo mtu ikimtokea huweza kusababisha kupoteza akili kwa muda huo. Na ndio utaona mtu anashindwa hata kusema, au akisema maneno hupotea au ndio kama tulivoona unashindwa hata kusoma.
 
Chezeeni mental block nyie, akatafakari mwenyewe huyo; hahitaji public sympathy kwa mambo madogo Kama Yale;
 
Umeandika fact tupu ila wengi wa Wtz tulivyo vilaza tunashangiliaga kila ujinga, yaani tumekosa utu kabisa na japo kujiongeza ktk fikra tu
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane

Jamaa alivyokuwa DED,
Alikuwa mkorofi sana
 
Kama kwa elimu yake hiyo anashindwa kujiamini basi kwenye seminar alikuwa hafanyi presentation mbele ya wenzake. Chuo tunajifunza vingi ikiwemo kuwa na confidence mbele ya watu wengi na wakubwa
Mkuu niombe final year presentation, aisee nahisi pia na masterbation aka nyeto inapelekea kupoteza confidence
 
Jamaa nimemsikitikia sana! ila maisha yanaendelea,huwezi jua Mungu kamuepusha na jambo gani.
akili kubwa sana hii mkuu!!!

mtu aliyewahi kuwa mkurugenzi haiingii akilini eti ashindwe jambo kama lile.....ninachofahamu ni kuwa kazi ya ukurugenzi presha za kupokea na kuhojiwa na wakubwa mbele ya makamera ni za kila siku, kama amewahi kuhudumu katika nafasi hiyo hata kwa mwaka tu basi ana uzoefu tosha wa 'macho' ya wakubwa.

ukisikiliza sauti yake, haikuwa na dalili yoyote ya uoga.....ipo imara kabisa!

kwenye siasa humu kuna mengi sana tusiyoyajua na tusiyoyaamini............

(i)sikuamini hadi nilipoona kabisa, usiku wa manane, mbunge na mfanyabiashara mashuhuri akitoa kafara ya kuchinja mbuzi baharini na kutupa (kwa kuzimwaga baharini) kiroba kizima cha fedha. kwakuwa ilikuwa karibu na shule (a'level), madenti walivyokuwa hamnazo walikuwa wanasubiri watoke tu wanaenda kujiokotea yule mbuzi.

(ii) bila shaka mtakuwa mnakumbuka stori ya yule mbunge (mgombea?) aliyejifungia vioo katika gari na kwenda kujitosa zake baharini na kufia huko......ni huko huko kilwa km sikosei.

nakubaliana na wewe, ndiyo huenda kuna kitakachomuepuka katika hili....mimi sicheki hata kidogo!!!!
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini...
Neno ni mmoja, mke wake na ndugu zake wamwambie kuwa waziri sio lazima ,na mawazari walioapishwa leo hawana huakika ya kukaa hata miezi 6, Sasa yupi anafedheheka ambae ameshindwa Soma au yule anaetumbuliwa ndani ya uwaziri.

Halafu Kama huwa anatatizo la woga na usomi wake hajawai jua alitakiwa fanya nini,siku nyingine Ushauri wa bule kwake dakika tano kabla ya takio anapiga single tab of propranolol, atatema cheche KWA Raha zake, akifanikiwa anilipe consultation fee hakuna Cha bule bongo ishakua ngumu.
 
Back
Top Bottom