trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 608
Why react on the sport magufuli? Why? Why? Ikulu ina heshima kubwa utulivu, staha, ustahimilivu, busara Kwani lazima useme neno kwa kila jambo? Ikulu ya tanzania imekosa mtu makini, mwenye hekima na busara , ikulu haina diplomasia duuh!
Tanzania iko katika hali sio kabisa kwa sasa, u needed not say anything mamlaka ya uteuzi ni yako huna ahadi na Mungu katika yote ikiwa ni pamoja na afya yako ya leo wala ya kesho.
Why why ikulu inakosa staha, hekima na busara? Mtu kasoma tambaza, pugu, IFM na Mzumbe wakati unamteua wewe ulitumia vigezo gani ambavyo watu wako walikudanganya? Huyu mwenzetu ni binadamu, yani unachochea moto juu ya moto , PIGO LA MUNGU HALICHAGUI TUTAONA EPISODE ZIJAZO
View attachment 1645887