Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

Aisee nilikuwa sijui kama ni mbunge wa wapi kumbe ni kusini huko kilwa kwa ushirikina hawajambo wale watani zangu.
Ila Rais naye amekosea sana kumtumbua kwa ajili ya ishu ndogo kama hiyo wakati cv yake inatambulika
Angemruhusu aape wa mwisho! Yaani Magu kawapa ushindi wachawi wa Lindi!

Everyday is Saturday................................😎
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini...
Mkuu hivi Lissu aliposhambuliwa makada mlisemaje?
 
wabongo hatuwazi tofauti wakati ishaelewk jamaa kaamua na hajawahi shauriwa akakubali Humu Kila mtu anaponda angemewpisha hivhohivyo mmgesema vilaza, thread kibao mpaka mnachosha humohumo mpo.
Hakuna aliekulazimisha kusoma na kuchangia kila thread ukiona thread hujaipenda JUST SKIP ndio mana yakawekwa majukwaa tofauti humu
USIPENDE KUJIPANIKISHA VITU BILA SABABU[emoji52][emoji849][emoji849]
 
Inafahamika wazi ID zako 3 ni;-

Mama D
Bia Yetu
Kawe Alumni

Unapata faida kuwa na ID nyingi, Huku zingine zikiwa na jinsia ya kike wakati wewe ni dume zima?
☺☺☺
Bia yetu
Kawe Alumni
Mmeniachia dada yenu tuhuma nzito huku. Eti kuna mtu anasema mimi dume!!
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Usikute wenzake walimtia hofu/ububu kwani watu wa jimbo lake ni wapuuzi sana. Asilimia kubwa ya pale ni illiterates (hawajasoma) na hawapendi maendeleo hata kidogo. Wao wanaona ujiko kushinda na kuvaa shuka tu siku nzima na kushinda misikitini kama Kigoma tu au Tabora na Zanzibar. Ukitaka kuleta maendeleo watu wanakusomea dua ufe, kwa wale watakaobisha ulizeni historia ya ile sehemu. Tumuombee huyu kijana mwenzetu aponywe haraka kabla hajajiua.
.
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Kuwa karibu yake tunamjua sisi? Si lazima awe waziri, na si lazima ajidhuru
 
Yani mie sikufikiria kabisa kama angeamua vile hakumtendea haki.
Kama ameweza kuwahurumia hao wafungwa kunyongwa si angemuonea huruma na huyo jamani angepima utendaji wake wa kazi aone kama ni chenga looh..
Huyu mzee mi simsomagi mda mwingine.. [emoji16]
 
Utafikiri labda walimpendekezea tu huyo jamaa ila yeye hakumpenda ndio maana katoa maamuzi ya haraka hivyo hajampa nafasi nyengine.

Mimi mwenyewe nina tatizo la kutetemeka hasa mbele za watu,basi nilivyomuona huyo jamaa imeniuma sana kiasi naelewa alichokuwa anapitia.

Kuna vitu kama hivi Magu ndio huwa ananiboa.
 
Daah...so sad[emoji17]
Kumbe na wewe pole mkuu, yaani ukiwa na ujasiri wa kusimama mbele za watu na kujielezea ni jambo la kumshukuru Mungu
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Daaah mwamba ametia huruma sana, sijui shida imeanzia wapi, ila adhabu ya kutenguliwa ni kubwa sana na haikustahili, nadhani hili swala mheshimiwa angelichukulia kibinaadamu zaidi bila kuhukumu
 
Nashangaa watu kulishupalia suala la Ndulane,huyu aliomba ubunge na amepata uwaziri siyo lazima.JPM Yuko sahihi kumtema kwani ni mtu asiyejiamini,akawatumikie wapiga kura wake tu ndiyo saizi yake.
 
Back
Top Bottom