Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

Huyu bado ana ubunge anaingiza zaidi ya 12mill/month.
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
 
CUF na CHADEMA tulikuwa kiboko Kilwa, lazima huyu mbunge huyu Francis Ndulane wa CCM atetemeke na kutojiamini kuwa sasa amefikia ngazi hiyo maana Kilwa ilikuwa hakuna namna CCM washinde. Hili linathibitishwa na viongozi wa CCM ktk video hii

Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane

Ni hali ya kawaida kitalaamu huitwa Emotional Shock n yaweza kumtokea Mtu yeyote, pole sana Francis K. Ndulane!
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Huyo ni kilaza tu,mtu mzima unatetemekaje mbele ya watu,huna kesi,sio kwamba upo mahakamani kwa kesi ya kubaka au kuua,upo Ili uapishwe,wewe hata kusoma kiswahili uwezi!
Madhara ya kubebana haya,hata kwenye ubunge,kabebwa itakuwa ni mjomba wa khasim Majaliwa,
 
TOKA MAKTABA​

16 September 2019​

MAJALIWA AWATUMBUA WATUMISHI SABA, AKIWEMO MKURUGENZI WA HALMASHAURI FRANCIS NDULANE

Ofisi ya Waziri Mkuu, - Morogoro.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi saba katika halmashauri mbili za wilaya ya Kilombero na kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha ya umma zaidi ya sh. bilioni 1.3 za makusanyo ya mapato ya ndani. Mbali na kuwasimamisha kazi watumishi hao, pia Waziri Mkuu ameagiza watumishi hao warejeshe fedha hizo ndani ya siku tatu kabla hajamaliza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro September 2019.

Watumishi hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Fransis Ndulane anayedaiwa sh. milioni tano alizoingiziwa katika akaunti yake bila maelezo yeyote. Waziri Mkuu amewasimamisha kazi watumishi hao leo, Jumapili, Septemba 15, 2019 wakati akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, akiwa katika siku ya pili za ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Amesema “Mkoa mzima wa Morogoro umekuwa na tatizo la upotevu wa mapato, fedha zinakusanywa zinapita mikononi mwa watu hazifiki benki, hii ni shida, hatutavumilia.

Waziri Mkuu amesema kwa mujibu wa taarifa ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kipindi cha mwaka 2016 hadi Juni 2019, Katika mji wa Ifakara makusanyo yalikuwa ni bilioni 2.7 ambapo fedha iliopelekwa bank ni shilingi bilioni 1.9 na kwamba kiasi cha shilingi milioni 727 hazijulikani zilipoenda. Amesema katika mitambo kumi ya ukusanyaji wa mapato iliokaguliwa imeonyesha kiasi cha shilingi milioni 348 zilizokusanywa hazikupelekwa bank na hivyo kuishia mikononi mwa watu. Waziri Mkuu amesema katika uchunguzi huo ilibainika kuwa fedha hizo ziliingizwa katika akaunti mbalimbali za watumishi wa halmshauri hizo kutoka kwa mtendaji wa Kata ya Viwanja 60 katika Mji wa Ifakara aitwaye Gregory Midas. Watumishi hao ni: Reina Mrema ambaye anadaiwa kuchukua kiasi cha shilingi 298, Haile Njitango milioni 7, Linus Mdembo kiasi cha shilingi milioni 2 kwa kushirikiana na mtendaji huyo wa Kata.

Hata hivyo Waziri Mkuu ameagiza Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA katika halmashauri ya Mji wa Ifakara, John Mvanga ambaye ndiye alibaini kuwepo na ubadhilifu wa fedha hizo na baadaye kusimamishwa kazi, arejeshwe kazini mara moja na asibugudhiwe. “Mlimsimamisha kazi kwa sababu mlijua amegundua madudu yenu, lakini haisaidii, arejeshwe kazini naagiza apewe ulizi wa kutosha.” Kwa upande wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, Waziri Mkuu amesema zaidi ya sh. milioni 600 hazijulikani zilipo huku kiasi cha shilingi milioni 98.5 zikidaiwa kuingizwa katika akaunti za watumishi wa halamshauri hiyo bila maelezo yeyote. Waziri Mkuu amewataja watumishi hao kuwa ni Devid Onyango aliyechukua kiasi cha milioni 51, Elakada Kanongole milioni 36, Fork Karunde milioni 8 na Charlse Chali milioni 2.5. Amesema kati ya milioni hizo 600 kampuni ya Kilombero Plantation LTD (KPL) ambao wanadaiwa kiasi cha shilingi milioni 531 ambazo hazikuingizwa katika mfumo huo
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais...
Naunga mkono hoja achukue maamuzi magumu ya kujitundika tuuu hakuna namna, ajinyongee tuu huwezi kukosa ulaji Kwa upuuzi tuuu
 
Kama kwa elimu yake hiyo anashindwa kujiamini basi kwenye seminar alikuwa hafanyi presentation mbele ya wenzake. Chuo tunajifunza vingi ikiwemo kuwa na confidence mbele ya watu wengi na wakubwa
Kwani tatizo lake ni nini hasa? Kwamba hajaweza kusoma maneno ya kwenye kitabu/kiapo kwasababu hajavaa miwani? Au Kwamba Public Speaking imempiga chenga? Au Hana confidence? Sijaangalia TV kwahiyo ebu nieleweshe tatizo la Francis Ndulane.
 
Back
Top Bottom