Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

kweli kabisha Ila raisi alitakiwa atumie busara tu . yani yeyevanajifanya kama MUNGU HAWEZI KOSEA KANIHUZUNISHA SANA
 
Shikamoo Mh. Bwege!! Naona umemshughulikia vyema mwizi wako.

Hapo maliza kazinska RIP. Pia shughulikia amri toka juu.. [emoji123]
 
Mwambieni hajachelewa tunaweza kutuliza hasira za mkulu muhimu aje na mbuzi jike..kilo 25 za mchele..debe 4 za mkaa..mafuta ya sunflower lita 5..isizidi tarehe 24/12
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Sijaona kosa lolote la huyo jamaa, ni hali inayowatokea watu tofauti kwenye mazingira mageni kwao, Tena hasa Watanzania.

Mbaya zadi Jiwe ndio kafanya utumbo kabisa
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
Ni tukio la kawaida, kama lililompata yule UVCCM wa lindi kule dodoma. Kitaalamu na kitaaluma inaitwa Hippopotomonstrosesquippedaliophobia.
 
Sasa.kama mkuu wa nchi mwenyewe kaanza kumcheka na kufukuzwa hadharani unategemea nini kwa wananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom