Francis Ndulane anahitaji sana ushauri asijidhuru

Zamani wateule walikuwa wanafanyiwa briefying, rehersal, dressing, even table manner.
Nadhani liko tatizo kubwa limempata huyu bwana, kweli sio jambo la kucheka, anahitaji counselling.
 
Kweli kabisa sasa Watanzania baadhi wanalichukulia jambo kwa mzaha wake hawajui kama anaweza chukua hatua mbaya
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane

Uma ukae karibu na mwizi wa Kura?
 
elimu gani ccm nikubebeana tu muulize ben sa8 yuko wapi alipohoji tu PHD ya mze baba
 
Sisi tunamuona ng'ombe tu
giphy.gif
 
It was staged. Walipanga iwe hivyo . Hivi wee humjui Jiwe alivyo mnafiki. Kumbuka ishu ya Lugola Jiwe anadai kabisa eti hakujua mkataba. Sasa sijui wakifanya hivyo ni kwa manufaa ya nani? Na wanafanya hivyo kwa ustadi wa hali ya juu utadhani ni kweli.

Hili genge ni la kichawi hakya nani?
Mkuu ficha ujinga Bwana!
 
Mbunge wa CCM Francis Ndulane wakati wa kuapishwa kuwa waziri mdogo
 
Huyo kafanyiwa kitu iweje aliweza kuapa katika ubunge na hakushindwa mbele ya ndugai leo hii ashindwe na tena huwa wanapewa kukariri kuna kitu rais angempa mda badala ya kumfuta
 
Huyu hapa hakufaulu kura za maoni. Alipata kura za mkia. Wa kwanza alipolonywa ushindi akapewa yeye. Kumbuka huko ni Kilwa kwa Wazee wa Kazi. Kilwa hoiyeeeeeee
 
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.

Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa naibu waziri wa madini.

Kwa mujibu wa Rais ni msomi mzuri tu wa kiwango cha uzamili katika fani ya fedha.

Imekuwa ni jambo la kushtua sana kwa mtu mwenye uzoefu kama wake kushindwa kuapa kwa kusoma maandishi ya kiapo.

Kama ikivyo kwa Watanzania wengi tunashangilia sana hasa baada ya rais kutoa msimamo wake kuwa atateua mbunge mwingine kushika nafasi hiyo.

Ndulane atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu sana pamoja na mke wake na watoto wake pia kama anao.

Hapo ndipo washauri nasaha wanahitajika sana kwa Ndulane kuliko kumcheka na pengine aweza chukua hatua mbaya sana.

Ni wakati wa umma kuwa karibu yake na kumpa moyo kwa fedheha ile kwa Ndulane
WAKATI MWINGINE NDUGU WANASIASA TUWE NATABIA YA KUMUOMBA MUNGU. HASA KWA WAKRISTO WENZANGU, TUKUMBUKE MAOMBI KWA KILA WAKATI NA KWA KILA JAMBO. TUSIWE TUNAJIAMINISHA ELIMU ZETU NA UJUAJI WA SIASA TUKAZANI TUNAWEZA KILA KITU, TUKUMBUKE MAOMBI NISIRAHA. TENA TUOMBE BILA KUKOMAA. IMENIUMA SAANA KUMUONA NDUGU YA NGU HUYU ANASHINDWA KUAPA NA KUKOSA NAFASI NYETI KAMA HIII. SHETANI HALALI NA MAPEPO NA MAJINI WACHAFU NA MAWAKALA WA SHETANI WAKO KAZINI MASAA YOTE. MUNGU AMPENGUVU NA USITAHIMILIVU MBUNGE HUYO. AMINA
 
Yani kama ndio mume umemwaga ugali kizembe hivyo ukirudi nyumbani wife lazima akutie mikwaju ya kutosha
 
Back
Top Bottom