Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

Wazungu waache tu.
Ndiyo yale yakuletewa kitambaa kikubwa kinachofunika mji wote halafu unatoa ardhi.
 
View attachment 2036208
  • Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli.
  • She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015.
  • In September, she became just the fifth-ever female African leader to address the U.N. General Assembly. She used her remarks to criticize Covid vaccine inequality.
  • Suluhu has differentiated her leadership from her predecessor by implementing stricter Covid protocols, including mandatory quarantines for travelers coming from countries with new variants.
Source: https://www.forbes.com/power-women/

====

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Forbes kama mmoja wa Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2021.

Orodha hiyo si kwamba inajumuisha wanawake wenye fedha au madaraka, bali mwanamke aliyetumia kipaji chake, sauti au jukwaa kufanya jambo lenye manufaa kwa jamii.

Katika orodha hiyo Rais Samia ameshika nafasi ya 94 ambapo jarida hilo limeeleza namna alivyotumia jukwaa la Mkutano wa Baraza Mkuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kukosoa mgawanyo usio sawa wa chanjo za Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19).

Alihutumia mkutano huo mkubwa duniani ikiwa ni miezi sita tangu alipoingia madarakani kufuatia kifo cha Rais Dkt. John Magufuli, na alikuwa kiongozi mwanamke wa sita kutoka Afrika kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Forbes imetambua namna Rais Samia alivyotofautisha uongozi wake na wa mtangulizi wake katika mapambano dhidi ya UVIKO19, ambapo ametekeleza hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na karantini ya lazima kwa wageni kutoka nchi zenye aina mpya za virusi.

Nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo yupo MacKezie Scott (mtalaka wa Jeff Bezos) ambaye ni mwanamke watatu kwa utajiri duniani. Wengine ni Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Melinda Gate, Nancy Pelosi, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani.

Wanawake wote 100 wametoka katika nchi 30, katika sekta mbalimbali kama teknolojia, fedha, siasa, burudani, wasaidia jamii, na wote wameunganishwa kutokana na utendaji wao.

Chanzo: Swahili Times
Nguvu za kuzaa au nguvu zanini
 
Mwambie atumie awashawishi watu wa chini yake Watanzania tupate umeme, maji, aondoe/ kupunguza mfumuko wa bei, kodi kwenye mihamala, kuwajali wakulima.
 
Almanusra awe wa mwisho yaana wa 100 kati ya 100
 
Ni aibu kwa Rais wa nchi kushika mkia namba 94! Kwa cheo cha urais alipaswa kuwa mbele zaidi
 
Mwisho ikatoroka nae
Washenzi walimfanyizia wapate ten parcent kwenye chanjo. Hivi sisi njaa kali tunaojazana kwa kila usafiri kila sehem corona inatuogopa kweli? Hivi ushaona watu inaobeba mv victoria kwa mkupuo. Vip vivuko vya kamanga na busisi na hawa watu hawazijui barakoa ije iwe kwa jpm?
 
Habari za mida Tanzania

Awali ya yote nipende kumshukuru MUNGU alotuumba sisi na kutulinda na maovu na matando ya adui na wakala wake.

nikirudi kwenye maada, Taarifa iliyotolewa na chombo cha habari maarufu hapa mjini kuwa SAMIA SULUHU HASSAN ametajwa na jarida la forbes kuwa mwanamke mwenye ushawishi na nguvu ,hvyo kupelekea kuwa wa 94 kati ya wanawake 100.

SWALI?

wataalum hivi wanatumia vigezo gani ku-categorise hizi nafasi ,asante

sina roho mbaya na SAMIA
Screenshot_20211208-001213_1.jpg
 
Habari za mida Tanzania

Awali ya yote nipende kumshukuru MUNGU alotuumba sisi na kutulinda na maovu na matando ya adui na wakala wake.

nikirudi kwenye maada, Taarifa iliyotolewa na chombo cha habari maarufu hapa mjini kuwa SAMIA SULUHU HASSAN ametajwa na jarida la forbes kuwa mwanamke mwenye ushawishi na nguvu ,hvyo kupelekea kuwa wa 94 kati ya wanawake 100.

SWALI?

wataalum hivi wanatumia vigezo gani ku-categorise hizi nafasi ,asante

sina roho mbaya na SAMIAView attachment 2036646

Nakumbuka kuna mwaka mlileta link kwamba Magufuli kashinda tuzo ya kiongozi bora afrika leo mmekuja na hili!
 
Acheni kutafuta teuzi kwa mtindo huu. Samia awa mwanamke wa 94 kwa ushawishi wa wapi? Zanzibar??
 
View attachment 2036340
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Forbes kama mmoja wa Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2021.

Orodha hiyo si kwamba inajumuisha wanawake wenye fedha au madaraka, bali mwanamke aliyetumia kipaji chake, sauti au jukwaa kufanya jambo lenye manufaa kwa jamii.

Katika orodha hiyo Rais Samia ameshika nafasi ya 94 ambapo jarida hilo limeeleza namna alivyotumia jukwaa la Mkutano wa Baraza Mkuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kukosoa mgawanyo usio sawa wa chanjo za Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19).

Alihutubia mkutano huo mkubwa duniani ikiwa ni miezi sita tangu alipoingia madarakani kufuatia kifo cha Rais Dkt. John Magufuli, na alikuwa kiongozi mwanamke wa sita kutoka Afrika kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Forbes imetambua namna Rais Samia alivyotofautisha uongozi wake na wa mtangulizi wake katika mapambano dhidi ya UVIKO19, ambapo ametekeleza hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na karantini ya lazima kwa wageni kutoka nchi zenye aina mpya za virusi.

Nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo yupo MacKezie Scott (mtalaka wa Jeff Bezos) ambaye ni mwanamke watatu kwa utajiri duniani. Wengine ni Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Melinda Gate, Nancy Pelosi, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani.

Wanawake wote 100 wametoka katika nchi 30, katika sekta mbalimbali kama teknolojia, fedha, siasa, burudani, wasaidia jamii, na wote wameunganishwa kutokana na utendaji wao.
Hongera Sana kwa mh.Hangaya.Tutumie umaarufu wake ku lobby investors kuja kuwekeza nchini.
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wanawake wenye ushawishi mkubwa walioorodheshwa katika orodha ya jarida la Forbes la wanawake wenye uwezo mkubwa duniani 2021.

Suluhu ambaye alimrithi mtangaluzi wake hayati John Pombe Magufuli mapema mwaka huu ameshirikishwa katika orodha hiyo ambayo pia inamuweka aliyekuwa mke wa mtu Tajiri zaidi duniani Jeff Bezos, Mackenzie Scott kuwa katika nafasi ya kwanza .

Scott ambaye alitalakiana na bilionea Jeff Bezos na kuolewa na mwalimu ndiye mwanamke wa tatu Tajiri zaidi duniani.

Hatua yake ya kutoa fedha anazomiliki kwa shghuli za ufadhili ndio liomuwezesha kuorodheshwa katika nafasi hiyo.

Bilionea MacKenzie Scott, ameolewa na mwalimu wa sayansi katika shule ya watoto wake .

Taarifa ya kuolewa kwake na Dan Jewett ilifichuliwa kupitia tovuti ya kutoa misaada.

Bi Scott, ambaye thamani ya utajiri wake ni karibu dola bilioni 53 kulingana na makadirio ya hivi karibuni ya Forbes, amesema nia yake ni kutoa sehemu kubwa ya mali hiyo.

Kwa upande wake Rais Samia ambaye yuko katika nafasi ya 94 amejipatia sifa kwa kufuata maagizo ya corona na kuyaidhinisha nchini Tanzania.

Sifa moja kubwa ambayo watu waliowahi kufanya naye kazi wanaisema na ambayo si watu wengi wa nje wanaifahamu ni uwezo wake mkubwa wa kiuongozi.

Kwa mfano mbunge wa jimbo la Bumbuli (CCM), January Makamba, anasema Samia ni miongoni mwa wanasiasa wenye uwezo mkubwa aliowahi kufanya kazi nao na ni bahati mbaya tu kwamba wengi wa Watanzania hawajapata fursa ya kuliona hilo.

Makamba alifanya kazi kwa karibu na mama Samia katika kipindi cha kati ya mwaka 2015 hadi 2020 wakati akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - ambapo alikuwa akiripoti kwa mama huyo moja kwa moja.

Kulingana na muhariri wa jarida la Forbes, Maggie McGrath , wanawake hao hawamiliki pesa au nafasi za madaraka tu , Mtu ni sharti awe anatumia fedha, alizonazo , sauti yake au majukwaa ya umaa kuimarisha jamii.

''Haitoshi tu kuwa na pesa, au nafasi ya madaraka. Mtu ni sharti awe anatumia fedha, alizonazo , sauti yake au majukwaa ya umaa kuwawezesha raia''.

Mwanamke aliyeshikilia nafasi ya pili katika orodha hiyo ni makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris ambaye amepanda juu nafasi moja na kumpiku Christine Lagarde - rais wa Benki kuu ya Ulaya ambaye yuko katika nafasi ya tatu.

Kwa mujibu wa muhariri wa Forbes orodha hiyo ya 18 ambayo hutolewa kila mwaka ya wanawake 100 wenye uwezo mkubwa duniani, inatoka kutoka mataifa 30 na inaangazia wanawake wanaofanya kazi katika idara za fedha teknolojia, siasa , uvumbuzi, burudani na zaidi, wote wakiwa na lengo moja.

Orodha hiyo pia inamshirikisha rais wa Taiwan Tsai Ing-wen , ambaye matamshi yake ya kupigania uhuru na demokrasia mbele ya shinikizo kuu kutoka China yamemuweka katika nafasi ya 28.

Orodha kamili ya wanawake 100 wenye uwezo mkubwa duniani

1 MacKenzie Scott51United States

#2Kamala Harris57United States

#3Christine Lagarde65France

#4Mary Barra59United StatesBusiness

#5Melinda French Gates57United StatesPhilanthropy

#6Abigail Johnson59United StatesFinance

#7Ana Patricia Botín61SpainFinance

#8Ursula von der Leyen63GermanyPolitics & Policy

#9Tsai Ing-wen65TaiwanPolitics & Policy

#10Julie Sweet54United StatesBusiness

#11Karen Lynch58United StatesBusiness

#12Carol Tomé64United StatesBusiness

#13Emma Walmsley52United KingdomBusiness

#14Jane Fraser54United StatesFinance

#15Nancy Pelosi81United StatesPolitics & Policy

#16Gail Boudreaux61United StatesBusiness

#17Rosalind Brewer58United StatesBusiness

#18Susan Wojcicki53United StatesTechnology

#19Safra Catz59United StatesTechnology

#20Ruth Porat64United StatesTechnology

#21Martina Merz58GermanyBusiness

#22Kristalina Georgieva68BulgariaPolitics & Policy

#23Oprah Winfrey67United StatesMedia & Entertainment

#24Shemara Wikramanayake59AustraliaBusiness

#25Judith McKenna55United KingdomBusiness

#26Amanda Blanc54United KingdomBusiness

#27Nicke Widyawati53IndonesiaBusiness

#28Amy Hood49United StatesTechnology

#29Catherine MacGregor-FranceBusiness

#30Phebe Novakovic63United StatesBusiness

#31Shari Redstone67United StatesMedia & Entertainment

#32Laurene Powell Jobs58United StatesPhilanthropy

#33Ho Ching68SingaporeFinance

#34Jacinda Ardern41New ZealandPolitics & Policy

#35Jessica Uhl53United StatesBusiness

#36Sheryl Sandberg52United StatesTechnology

#37Nirmala Sitharaman62IndiaPolitics & Policy

#38Gwynne Shotwell58United StatesTechnology

#39Janet Yellen75United States-

#40Kathy Warden-United StatesBusiness

#41Adena Friedman52United StatesFinance

#42Marianne Lake Jennifer Piepszak-United StatesFinance

#43Sheikh Hasina Wajed74BangladeshPolitics & Policy

#44Gina Rinehart67AustraliaBusiness

#45Thasunda Brown Duckett-United StatesFinance

#46Vicki Hollub61United StatesBusiness

#47Mary Callahan Erdoes54United StatesFinance

#48Ozlem Tureci-GermanyBusiness

#49Lisa Su52United StatesBusiness

#50Dana Walden57United StatesMedia & Entertainment

#51Tricia Griffith57United StatesBusiness

#52Roshni Nadar Malhotra40IndiaTechnology

#53Cathie Wood66United StatesFinance

#54Jennifer Salke-United StatesMedia & Entertainment

#55Tokiko Shimizu56Japan-

#56Donna Langley53United KingdomMedia & Entertainment

#57Hana Al Rostamani--Finance

#58Dong Mingzhu67ChinaBusiness

#59Yuriko Koike69JapanPolitics & Policy

#60Elvira Nabiullina58RussiaPolitics & Policy

#61Suzanne Scott-United StatesMedia & Entertainment

#62Lynn Good-United StatesBusiness

#63Ann Sarnoff-United StatesMedia & Entertainment

#64Judy Faulkner78United StatesBusiness

#65Melanie Kreis50GermanyBusiness

#66Sri Mulyani Indrawati59IndonesiaPolitics & Policy

#67Paula Santilli-MexicoBusiness

#68Rihanna33BarbadosMedia & Entertainment

#69Laura Cha-Hong KongFinance

#70Queen Elizabeth II95United KingdomPolitics & Policy

#71Mette Frederiksen44DenmarkPolitics & Policy

#72Kiran Mazumdar-Shaw68IndiaBusiness

#73Joey Wat50ChinaBusiness

#74Reese Witherspoon45United StatesMedia & Entertainment

#75Wang Feng Ying-ChinaBusiness

#76Beyoncé Knowles40United StatesMedia & Entertainment

#77Güler Sabanci66TurkeyBusiness

#78Taylor Swift31United StatesMedia & Entertainment

#79Zhou Qunfei-Hong KongTechnology

#80Ava DuVernay49United StatesMedia & Entertainment

#81Solina Chau59Hong KongPhilanthropy

#82Magdalena Andersson-SwedenPolitics & Policy

#83Sanna Marin36FinlandPolitics & Policy

#84Mary Meeker62United StatesTechnology

#85Serena Williams40United StatesMedia & Entertainment

#86Zuzana Caputova48SlovakiaPolitics & Policy

#87Dominique Senequier68FranceFinance

#88Falguni Nayar58IndiaBusiness

#89Lee Boo-jin51South KoreaBusiness

#90Anne Wojcicki48United StatesTechnology

#91Ngozi Okonjo-Iweala67NigeriaPolitics & Policy

#92Raja Easa Al Gurg-United Arab EmiratesBusiness

#93Julia Gillard60Australia-

#94Samia Suluhu Hassan-TanzaniaPolitics & Policy

#95Kirsten Green50United StatesTechnology

#96Renuka Jagtiani-United Arab EmiratesBusiness

#97Chrystia Freeland-CanadaPolitics & Policy

#98Mo Abudu-NigeriaMedia & Entertainment

#99Christiana Figueres-Costa RicaPolitics & Policy

#100Frances Haugen
 
37.jpeg

Jarida la Forbes limemuorodhesha Malkia wetu namba moja wa nguvu, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2021.

Hatua hiyo inakuja katika kipindi ambacho Tanganyika inasherejekea miaka 60 ya Uhuru wake, kwa hiyo inaonekana ni zawadi mujarrabu kwa Rais Samia leo hii. Katika orodha hiyo, Rais Samia ameshika nafasi ya 94 ikiwa ni mara yake ya kwanza kutajwa na jarida hilo kwenye orodha hiyo inayotolewa kila mwaka.

Rais Samia aliapishwa Machi 19 mwaka huu baada ya kifo cha Rais Hayati Dkt John Magufuli aliyefariki Machi 17 mwaka huu katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaamu.

Kwa mujibu wa jarida hilo, vigezo vilivyotumika kutengeneza orodha hiyo ni pamoja na namna muhusika anavyojitolea katika shughuli za kijamii na taifa lake kwa ujumla ikiwemo kupigania demokrasia na kusaidia wasiojiweza.

Jarida hilo halijaangalia madaraka wala uwezo wa kifedha wa muhusika.

Mackenzie Scott, mtalaka wa Jeff Bezos na mwanamke wa tatu kwa utajiri duniani anaongoza orodha hiyo kutokana na jinsi anavyotumia utajiri wake katika kusaidia jamii. Sehemu kubwa ya utajiri wake inatokana na mgawanyo wa mali baina yake na mumewe huyo Bezos, ambaye kwa sasa tajiri zaidi duniani.

Nafasi ya pili inashikiliwa na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris Kamala huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Christine Lagarde wa Ufaransa ambaYe ni Rais wa Benki Kuu ya Ulaya.

Jarida hilo la Forbes linasema kuwa katika orodha yake hiyo ya 18 ya wanawake wenye ushawishi duniani mwaka huu 2021, wanawake wengi wametokea katika nchi 30 na wanafanya kazi kwenye maeneo ya fedha, teknolojia, siasa, shughuli za hisani, burudani.

Katika nafasi ya 94, Rais Samia amewashinda Kirsten Green (95) ambaye ni mwekezaji mkubwa katika kampuni sita duniani zenye utajiri wa dola bilioni moja, Renuka Jagtiani (96), Chrystia Freeland(97).

Wengine ni Moo Abudu (98) ambaye ni mmiliki wa vyombo vya habari nchini Nigeria akimiliki kituo cha Ebonylife TV. Pia, amemshinda Christiana Figueres (99) na Frances Haugen(100) ambaye amekuwa maarufu mwaka huu kutokana na kufichua siri za jinsi kampuni ya Meta zamani Facebook) inavyojali zaidi faida kuliko athari kwa watumiaji wake.
 
Mama namkubali sana tena sana.
kumbe Nchi yetu ina hazina aise.....kabla ya kuwa Rais sikuwa namjua kihivyoo lkn bwana! kumbee ni mtu IMARA, MAKINI na HODARI
 
Back
Top Bottom