jeff bezos

  1. babu M

    Jeff Bezos (Amazon) atengeneza Dola bilioni 13 ndani dakika 15!!

    Thamani ya shea za Kampuni ya Amazon inc zimepanda kwa asilimia 12 kufikia dola 2,100 leo. Hii ni baada ya kuripoti Earnings za robo mwaka. Baadhi ya kampuni nyingine ambazo zimetoa reporti nzuri jana ni Apple, Tesla, GE, Facebook na Microsoft. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...
Top