Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Brazakaka hakuna asiyekosea dunia hii.

Chuoni nakumbuka kuna kama mara tatu hivi baada ya kurudishiwa mitihani ya mwisho wa mihula na kuipitia tena darasani, niliweza kubaini makosa ya profesa ambayo baada ya kumwonyesha alikubali kuwa alikosea na hivyo kuniongezea maksi.

Huyo anasema yeye si mjinga...hakuzaliwa mjinga wala hakwenda shule futa ujinga.... So logically huyo hakosei ndo maana nikashangaa....

Duh mkuu profeseri gani huyo alikubali kirahisi? Nakumbuka tukiwa university of Denver profeseri flan mkenya alitupa maswali ya Ku mention watu tukapata yote kurudisha mtihani hakuna aliyepata maksi zote basi kumfwata akasema mneweka maelezo tukamwambia mentioning haitaki maelezo jamaa aka conclude kwa kusema "hii sio Kama hesabu mpaka upate zote" ha ha yule baba simsahau aisee kukaa kote ng'ambo roho ya husda ya kiafrika haikumtoka.....
 
Huyo kijana sijuwi nae alikuwa na mishe mishe zipi maana alitukaribisha Mortons steak house, dinner hapo bei yake tulikuwa tunatazamana, halafu watu wanne na yeye watano na hatujuwi anafanya kazi wapi.

Hapo sasa.

Yupo bongo? hauna contacts zake? ni kijana mkarimu sana.

Aisee kumbe umaskini umekua nao kitambo....
 
.. FaizaFoxy si vyema kujua mipango ya watu..kazi zao biashara zao ukitaka jua utaamiza tu akili yako, kama aluwatoa dinner nyie kuleni dinner tu...hiyo ndiyo formula ya maisha duniani kote...
 
Last edited by a moderator:
.. FaizaFoxy si vyema kujua mipango ya watu..kazi zao biashara zao ukitaka jua utaamiza tu akili yako, kama aluwatoa dinner nyie kuleni dinner tu...hiyo ndiyo formula ya maisha duniani kote...

Unatakiwa uwe extra careful dunia ya sasa, bila kuwa inquisitive unaweza kujikuta kwenye mtego wa panya.
 
Yupo Dar mwanangu Jeshi

Ingia facebook mtafute jamaa anaitwa Ulimwengu Manzi au Othman Njaidi then omba namba ya Jeshi!

Bahati mbaya situmii fb, lakini najuwa nani wakumuuliza kama yupo Dar ntampata. Ahsante.
 
Unanikumbusha enzi hizo skonga kila utayemuuliza kwenu wapi anakwambia DSM teh teh teh

Sasa ulitaka wakwambie kwao ni wapi?
sasa kama Mtu kazaliwa hapa Dar ulitaka akwambie kwao sehemu asiyoijua? Isitoshe Sikonge ni ya watoto wa shule na karibu wote watoto wa Shule wamezaliwa hapa hapa kitaa, na ndio kwao!
 
Wewe Nyani Ngabu inaelekea unachuki binafsi. Hizi kesi hakuna kitu kwa taarifa yako. Huyo Alpha aliingia choo cha kike baada ya kutaka kupambana na serikali mahakamani. Wengine wengi wamekuta deal zao ndiyo maana ni miezi tu kama kitwara hafungwi mtu miaka 30.Jiandae kisaikologia na punguza chuki. Kwa taarifa yako kamata kamata inakuja na wewe unaweza kuwa mwathirika kama ulinunua nyumba maana lazima kuna mahali ulidanganya kwenye application ya loan
 
Sasa ulitaka wakwambie kwao ni wapi?
sasa kama Mtu kazaliwa hapa Dar ulitaka akwambie kwao sehemu asiyoijua? Isitoshe Sikonge ni ya watoto wa shule na karibu wote watoto wa Shule wamezaliwa hapa hapa kitaa, na ndio kwao!

Mkuu hiyo ilikua stori ya mjini enzi hizo...

Kila MTU asema kwao DSM mwisho Wa siku anakwea gari kuelekea mbeya...Dodoma...arusha...n.k . n.k
 
Kipande cha steak bila hata juice ni dollar 50, siku hizo, fikiri.

AlhamduliLlahi umasikini sina lakini israf si vyema.

Bibi bomba sema unafaidika na buku7 za lumumba..umaskini utaupatia wapi...!
 
Huyo anasema yeye si mjinga...hakuzaliwa mjinga wala hakwenda shule futa ujinga.... So logically huyo hakosei ndo maana nikashangaa....

Duh mkuu profeseri gani huyo alikubali kirahisi? Nakumbuka tukiwa university of Denver profeseri flan mkenya alitupa maswali ya Ku mention watu tukapata yote kurudisha mtihani hakuna aliyepata maksi zote basi kumfwata akasema mneweka maelezo tukamwambia mentioning haitaki maelezo jamaa aka conclude kwa kusema "hii sio Kama hesabu mpaka upate zote" ha ha yule baba simsahau aisee kukaa kote ng'ambo roho ya husda ya kiafrika haikumtoka.....

Ukiwa mjinga ni mjinga tu, shule haikufutii ujinga.

Wajinga wanaokwenda shule wanaachwa mbali sana darasani, ndiyo maana kuna wa mwanzo na wa mwisho darasani.

Wewe umekiri kuwa umezaliwa mjinga na mpaka unaenda shule ulikuwa ni mjinga uliyeenda shule kwa madhumuni ya kufuta ujinga! Mimi sijazaliwa mjinga na sikwenda shule kufuta ujinga, nilikwenda shule kupata elimu.
 
Back
Top Bottom