Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Wewe umekiri kuwa ni mjinga toka kuzaliwa, sasa sijuwi unachotaka ku prove ni nini zaidi ya ujinga wako na sisi kukuona kuwa u mjinga tu.

Huna haja ya kubwabwaja na kuhororoja, once mjinga always ni mjinga tu, hata ufanye nini ujinga haufutiki.

Hivi uliwahi kufanya kazi bandarini kwa wapakua mizigo au sokoni Kariakoo? Maana kiwango chako cha ubishi kiko juu sana. Hata sijui umejifunzia wapi huu ubishi maana dah, kila ubishi wa humu lazima nikukute unauongoza huo ubishi.
Ova
 
Teh teh teh kwahiyo kukosa uwezo Wa kujua unachotakiwa kujua ndo ujinga?? Ha ha ha ha haaa kwahiyo wanaoshindwa kwenda shule kwa kukosa uwezo ndio wajinga kwakuwa tu wamekosa uwezo Wa kujua yaliyowapasa kujua??

Teh teh teh hii reasoning yako kali Sana aisee kwahiyo wewe usipojua kazi ya utabibu ktk elimu hiyo tukuiteje??

Ujinga ni hali ya kutojua kitu na ndio maana tunasema binadamu wote huzaliwa wajinga....

Elimu hufuta kiasi Fulani cha ujinga kwa MTU mfano ujinga Wa kutojua kusoma... Kuandika..kuhesabu..n.k n.k

Unajicontradict Sana awali ulisema ujinga ni ujinga hauna maana halafu unaleta tena hiyo maana kwenye red vipi unaelewa vyema unachojadili??

Kwenda shule si kufuta ujinga. Kumbuka hilo. Wengi sana hawajaenda shule na si wajinga, rudi juu ukasome tena.
 
Hivi uliwahi kufanya kazi bandarini kwa wapakua mizigo au sokoni Kariakoo? Maana kiwango chako cha ubishi kiko juu sana. Hata sijui umejifunzia wapi huu ubishi maana dah, kila ubishi wa humu lazima nikukute unauongoza huo ubishi.
Ova

Hao wabeba mizigo ni binaadam vile vile na si wajinga.
 
Kwenda shule si kufuta ujinga. Kumbuka hilo. Wengi sana hawajaenda shule na si wajinga, rudi juu ukasome tena.


Ujinga= lack of knowledge

Elimu= process of acquiring knowledge......

Kama ujinga ni kukosa ujuzi na elimu ni kupata ujuzi kwahiyo elimu =??

Nani kakwambia elimu ipo darasani/shuleni tu??

Tuna informal and formal education na zote kazi yake ni kutoa ujuzi kwa watu ktk jamii.....
 
Usidanganye. Sema tu ulikuwa hujui magavana Marekani wanafungwa jela wakivunja sheria. Hii si Tanzania ya Kikwete ambako wavunja sheria wanakuwa mashujaa.

Don't argue with fool like him, he we will drag u down to his level of Madrasat and beat you with experience of KAMIKAZE.
 
Jamani sasa hivi kuna yule jamaa anaitwa Chris anaeishi kwa shemeji yake Uingereza simsikii tena yupo wapi?
 
Nyani Ngabu nipo Sinza hapa namuona raia wako wa zamani Othman Njaidi ameingia na Nissan March T 446 AZP.

Tunaojuwa lugha ya picha tayari nimeshapata majibu, tafadhali msijisahau uko ndugu zetu.
 
Last edited by a moderator:
Usiwe mtumwa wa akili wewe utabaki kuwa Mkwaya wa Musoma, miafrika mingi uwa mapunguani sana wakiisha Marekani na Ulaya,
Kwani ukisema ulikuwa hujui magavana Marekani hufungwa jela wanapovunja sheria ungepungukiwa nini? Tupo hapa JF kuelimishana. Hata Zambia, rais akiwa corrupt anafunguliwa mashtaka. Ni Tanzania tu ambapo matapeli wanakuwa rais, wanatuibia na kutajirisha familia zao and nothing is done about it.
 
only in America.jpg
Hili ndilo tatizo la wabongo wakifika Marekani. Wanaanza kujifananisha kifedha na akina Diddy
 
Nyani Ngabu nipo Sinza hapa namuona raia wako wa zamani Othman Njaidi ameingia na Nissan March T 446 AZP.

Tunaojuwa lugha ya picha tayari nimeshapata majibu, tafadhali msijisahau uko ndugu zetu.

Vipi, anaonekana kawiva au kapauka na vumbi? Na Sinza ipi hiyo, Kijiweni?
 
Vipi, anaonekana kawiva au kapauka na vumbi? Na Sinza ipi hiyo, Kijiweni?

Ni Sinza kumekucha mkuu ule mtaa wenye Golden park hotel na watoto wakare.

Nikisema kapauka nitakuwa simtendei haki ila ni wazi kabisa amerudisha mpira kwa kipa na ameyakubari matokeo ila anaonekana umri nao kama umeshakwenda sana sasa sijui ni uchumi ndio unampa muonekano wa kidingi?
 
Ujinga= lack of knowledge

Elimu= process of acquiring knowledge......

Kama ujinga ni kukosa ujuzi na elimu ni kupata ujuzi kwahiyo elimu =??

Nani kakwambia elimu ipo darasani/shuleni tu??

Tuna informal and formal education na zote kazi yake ni kutoa ujuzi kwa watu ktk jamii.....

Duh. Wewe kweli mjinga.
 
Ni Sinza kumekucha mkuu ule mtaa wenye Golden park hotel na watoto wakare.

Nikisema kapauka nitakuwa simtendei haki ila ni wazi kabisa amerudisha mpira kwa kipa na ameyakubari matokeo ila anaonekana umri nao kama umeshakwenda sana sasa sijui ni uchumi ndio unampa muonekano wa kidingi?

= ameyakubali
 
Duh. Wewe kweli mjinga.


Is this all?

Ha ha ha ha linapokuja suala la kujadili kitaalam/kisomi unapwaya Sana teh teh teh


Swali jepesi

Kama ujinga = lack of knowledge na

Education = Acquisition of knowledge je elimu ni ??

Halafu ujue hata huo unyago wenu pia ni sehemu ya Elimu......
 

[h=1]Takoma Park Man Sentenced To 5 Years In Prison For Two Residential Mortgage Fraud Schemes[/h]Used Other Individuals’ Identities, False Income and Credit Information
to Induce Lenders to Provide Home Mortgage Loans

​
​
​
FOR IMMEDIATE RELEASE
June 16, 2014​


Greenbelt, Maryland – Chief U.S. District Judge Deborah K. Chasanow sentenced Mokorya Cosmas Wambura, age 41, of Takoma Park, Maryland today to five years in prison followed by five years of supervised release for conspiring to commit wire fraud and aggravated identity theft arising from two separate residential mortgage fraud schemes. Chief Judge Chasanow also ordered Wambura to pay restitution of more than $400,000.

The sentence was announced by United States Attorney for the District of Maryland Rod J. Rosenstein; Special Agent in Charge Cary A. Rubenstein of the Housing and Urban Development Office of Inspector General - Office of Investigations; Acting Inspector General Michael P. Stephens of the Federal Housing Finance Agency Office of Inspector General; Special Agent in Charge Kathy Michalko of the United States Secret Service – Washington Field Office; John L. Phillips, Assistant Inspector General for Investigations, U.S. Department of the Treasury - Office of Inspector General; and Special Agent in Charge William Winter of U.S. Immigration and Customs Enforcement’s (ICE) Homeland Security Investigations (HSI).


"This investigation demonstrated that through the cooperative investigative efforts with our law enforcement partners, those who commit fraud affecting financial institutions of the United States will be brought to justice," said John L. Phillips, Assistant Inspector General for Investigations, U.S. Department of the Treasury - Office of Inspector General.

According to his plea agreement and court documents, from March 2007 to November 2008, Wambura conspired with real estate agent Tibakweitira and others to unlawfully use the identity of another individual to buy residential property. For example, in June 2008, Wambura used the stolen identity of another person, along with false income statements and credit information, to buy a residence in Hyattsville, Maryland. The conspirators inflated the sales price by creating false documents for repairs and renovations that were never made. After the settlement, the conspirators divided up the cash received for the purported repairs.

During the second fraud scheme from July 2007 to May 2009, co-conspirator Mrisho Mzese sold his residence in Silver Spring, Maryland to Wambura, and attempted to conceal the scheme by using the identity of Wambura’s friend and roommate as the purported buyer. Wambura again made false statements about the buyer’s assets and income. For example, Wambura listed a joint credit union account held by Wambura and his friend as an asset, which Wambura created without his friend’s knowledge. After securing the mortgage and obtaining possession of the residence, Wambura continued to use his friend’s stolen identity to become a Section 8 landlord for federally subsidized funds. Wambura received portions of the monthly rent paid by the tenant. Wambura and Mzese also caused $29,186 in government housing program assistance checks, payable to Wambura’s friend, to be mailed to Wambura.
As a result of the two conspiracies, Wambura caused between $400,000 and $1 million in losses to federally-insured financial institutions.
Edgar Tibakweitira, a/k/a “Edgar Julian,” “Charles Edgar Tibakweitira,” and “Edgar Gaudious Tibakweitira,” age 37, of Severn, Maryland, previously pleaded guilty to the conspiracy and to aggravated identity theft, and has agreed to forfeit a Range Rover vehicle. Tibakweitira is scheduled to be sentenced on November 3, 2014 at 10:00 am.
Mrisho Mavuruma Mzese, age 39, of Clarksburg, Maryland, was convicted at trial on May 1, 2014 on 11 counts including conspiracy to commit wire and mail fraud, wire fraud, mail fraud and aggravated identity theft, based on his participation in the second fraud scheme in which he engaged with Wambura. Mzese's sentencing is scheduled for August 7, 2014 at 2:00 pm.
The Maryland Mortgage Fraud Task Force was established to unify the agencies that regulate and investigate mortgage fraud and promote the early detection, identification, prevention and prosecution of mortgage fraud schemes. This case, as well as other cases brought by members of the Task Force, demonstrates the commitment of law enforcement agencies to protect consumers from fraud and promote the integrity of the credit markets. Information about mortgage fraud prosecutions is available <MortgageFraud>.

Today's announcement is part of efforts underway by President Obama’s Financial Fraud Enforcement Task Force (FFETF) which was created in November 2009 to wage an aggressive, coordinated and proactive effort to investigate and prosecute financial crimes. With more than 20 federal agencies, 94 U.S. attorneys’ offices and state and local partners, it’s the broadest coalition of law enforcement, investigatory and regulatory agencies ever assembled to combat fraud. Since its formation, the task force has made great strides in facilitating increased investigation and prosecution of financial crimes; enhancing coordination and cooperation among federal, state and local authorities; addressing discrimination in the lending and financial markets and conducting outreach to the public, victims, financial institutions and other organizations. Over the past three fiscal years, the Justice Department has filed more than 10,000 financial fraud cases against nearly 15,000 defendants including more than 2,700 mortgage fraud defendants. For more information on the task force, visit StopFraud.gov - Financial Fraud Enforcement Task Force.

United States Attorney Rod J. Rosenstein praised HUD-OIG, FHFA-OIG, Treasury OIG, U.S. Secret Service and HSI Baltimore for their work in the investigation. Mr. Rosenstein thanked Assistant U.S. Attorney Kristi N. O’Malley and Special Assistant U.S. Attorney Kevin DiGregory, Investigative Counsel for the Federal Housing Finance Agency Inspector General, who prosecuted the case.

Takoma Park Man Sentenced To 5 Years In Prison For Two Residential Mortgage Fraud Schemes

Ndo wambura huyo?
 
Hayo ndo matatizo ya nchi kugeuka kuwa chaka la ubabaishaji; badala ya kutoa watu wachapakazi tumegeuka kuwa chanzo cha matapeli, wakora, wauza unga, wezi kama escrow, nk. Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana kuweza kujenga jamii staarabu inayoongozwa na mfumo bora wa sheria.

Mtoto mleavyo ndiyo akuwavyo, hivyo serikali inalea wananchi kifisadi, wananchi husoma kupitia kwao.
Tatizo hatuna katiba ambayo yenye heshima ikampa Funzo kila mtu,isio jali cheo.
 
Daah.. Hebu mkuu nipe elimu kidogo hapa.. Hapa Tanzania sie tuliibiwa nini na hawa wazungu kiasi leo New York ikawa vile ilivyo..? Au mali ambayo waliichuma wamarekani kiasi ikawafanya kuwa taifa lenye uchumi namba moja duniani..?

Utumwa, mtumweusi ametumika sana ulaya na America kujenga nchi zao. 12 years slave, django
 
Back
Top Bottom