FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Bibi bomba sema unafaidika na buku7 za lumumba..umaskini utaupatia wapi...!
Masikini ni yule mwenye kilema amma cha kiwiliwili amma cha akili. Mimi nashkuru AlhamduliLlah si masikini na hiyo CCM huwa nnaichangia kwa hali na mali.