Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Angefungwa bongo lazima wangemuwowa huko gerezani...

IMG_8368.JPG
 
Na wewe kumbe unabeba Mabox na kusafisha vibibi vyako vizee vinavyongojea kufa? kazi kweli ipo. Bibie Jestina

Ni kazi halali wangu,inanipa nya.....vibibi vinavyosubiri kufa viko kila mahali...hata uko ulipo vipo....kama wanalipa vizuri niambie nije kuvisafisha...nina ma-xperience lol....au unataka nije kukusaidia kuuza makwato ya ng'ombe@mzizimkavu,sitaki nitakaa kwa wasi wasi siku moja utaniua nalo moja teh teh........
 
Last edited by a moderator:
Ni kazi halali wangu,inanipa nya.....vibibi vinavyosubiri kufa viko kila mahali...hata uko ulipo vipo....kama wanalipa vizuri niambie nije kuvisafisha...nina ma-xperience lol....au unataka nije kukusaidia kuuza makwato ya ng'ombe@mzizimkavu,sitaki nitakaa kwa wasi wasi siku moja utaniua nalo moja teh teh........

Vibibi oyeeeeee......

Boksi oyeeeeee.........
 
Wazungu wanatuonea sna risasi watupige kufunga watufunge.c wangemsamehe tu,mbona huku tz epa tuliwasamehe,wao wanaonashd
 
Huyo Alpha wala si mtoto wa kiongozi wa serikali ya CCM.

I could say maybe he is a product of his environment but naah.....it just won't cut it.

Nashangaa wanaohangaika na ulaghai na kutumia njia haramu kupata pesa katika nchi zilizoendelea. Beba box kisha upate pesa halali na utalia kivulini kuliko sasa za kuishia chember za kule gerezani. Wapi akina mama nao ambao hujiingiza kwenye biashara ya ukahaba. Watanzania tunaaibisha jamani.

Zamani nilifikiri ni watoto wa wakubwa, lakini siku hizi nimebaini ni wale ambao walikuwa na ndoto za kufikirika kwamba ukifika majuu basi ni kuchota pesa kwa kadiri uwezo unavyokuruhusu na kilichotokea.

Wanaochuchumia kwenda majuu wajue kuwa majuu kazi ni kwa kujituma na hakuna kulala na ukitaka kitu kitulie mkononi fanya kazi mbili usingizi masaa machache sana na anasa weka kando. Hao wanaofanya hayo yamewashinda na ndio maana wanachukua njia ya mkato inayowafikisha sasa gerezani.
 
Kweli Presidaa umepania kuisafisha nchi yako. Vipi na Othman Njaidi yupo kwenye reja yako au what goes on.

Box oyeeee

OJ alishatumikia kifungo chake na baada ya kumaliza akarudishwa.

Nadhani atakuwa bado yupo Dar na huenda kaamua kuishi maisha ya kimya kimya.
 
Yeah...Ni kwanini mtu mwenye profile yenye utata aliweza kuruka viunzi vyote hadi kuingia kwenye sebule kama sio chumba cha kulala cha nchi...kwamba state datails hawakuwa na sababu ya kupekua file lake? walijisahau kidogo? Ama walimwonea haya Mr President? Ni nani alikuwa nani siku huyu sharo alipouza sura na Mzee wa Kaya na remuneration ya ajira yake as state Detail?
Hapa ni Tz embassy DC na sio Ikulu
 
OJ alishatumikia kifungo chake na baada ya kumaliza akarudishwa.

Nadhani atakuwa bado yupo Dar na huenda kaamua kuishi maisha ya kimya kimya.

Mkuu hebu niambie kuna wale wengine ambao baba yao alikuwa bosi bandari.. Nakumbuka mmoja alipata kadhia na kuhukumiwa kipindi karibia kipindi sawia na cha OJ kule Hou tx.. Sijawasikia kitambo..
 
Jana, Disemba 9 2014, mbeba maboksi aitwaye Alpha Mshihiri alihukumiwa kwenda miaka 12 gerezani kwa makosa ya ulaghai wa mikopo ya nyumba.

Wenzenu tunabeba maboksi halafu nyie mnafanya ufisadi wenu na kujidai eti hamuwezi kuajiriwa na mtu. Mkizipata hizo hela mnaanza nyodo.

Huyu Alpha Mshihiri ni Mlimani Primary School alumnus. .


Star Tribune[/FONT][/COLOR]

Alpha sio Mustapha? Wengine waenda kwa kujibadili badili
 
Utapeli wa kitanzania anaenda nao Marekani.. Huko hadi magavana wanafungwa. Alidhani huko nako hakuna utawala wa sheria kama hapa Bongo eh!
Mavana wa majiimbo gani wameishafungwa Marekani? Usipende kuokota maneno mitaa na kuleta JF.
 
Idd na Haji Janguo..?

Nadhani sasa hao mabwana watakuwa wala vumbi tu.

Daaah.. Kusema kweli mara ya mwisho kuonana na huyo Idd ilikuwa kwenye mazishi ya mshkaji aliefia kwenye swimming pool pale Hou.. Almost 12 yrs ago.. Kulikuwa na issues walizokuwa wakizipiga..
 
Back
Top Bottom