Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

embu nipe MAVI MBILI MOTO MBILI BARIDI

LOH
 
pombe zingine bana majina yao tashburrrrrr

10675598_10204738936487422_3023610019452275560_n.jpg

Unatumia hiyo makitu Diddy?
 
Bado nipo kwenye uchunguzi wa muda mrefu juu ya akili ya Pdidy anyways inasikitisha sana hii ya Watanzania wanaokamatwa kwa fraud
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa NN unanivunja mbavu leo! Nilikua sijasoma comments daaah

hata mie zimenishtua yummy wacha maisha kupokezana nakwambi

anyway afadhali nao walikumbuka dar kwa kutuletea yale magari marefu kwa wale walioamua kufunga pingu za maisha tukahisi tuko peponi kabla ya wengine kuleta hummer wakaanza kuyachoma moto ...nakumbuka moja nililikuta pale kwamama rwakatare linateketea loh nikajua nika

cc;INSUARANCE baada ya kujua ni ya nani .....he kumbe walikuawana piga mambo yetu ....aisee hivi yul;e baba yao bado mbunge .....
 
Nimekusoma. Asante kwa elimu ya kistaatabu. Huku Jf mtu akipitiwa kitu badala ya kuelezwa atakashfiwa.

Imebidi nicheke sana kwani ''kupitiwa'' kwako mkuu ni zaidi ya kupitiwa. Habari na tukio inaonyesha bila chenga ni ya USA. Sasa wewe uhuru wa Tanganyika wapi na wapi! Mh... Unanipeleka kule kule kwa ''kocha badili information'' badala kocha badili formation.
 
kuiba Aibe mshihiri akiiba chenge achunguzwe..

so saddest and only in Tanzania
 
Wakati mwingine unashindwa hata kuelewa. Sad...

Very sad my friend!

I feel bad for his kids.

I actually feel excited in happiness. Seeing this useless creature locked out of vicinity! Mtu anayedhalilisha hata nduguye! No! Hebu tuwe na furaha kwa haya yaliyompata. mwishoni.

Yule mwingine aliyechoma mwenzake visu aliishia wapi jamani! Au mtu aitwaye kupaza aliyeuwa mpwa wake yuko wapi. Hope hawa watu wanatiwa adabu.
 
I actually feel excited in happiness. Seeing this useless creature locked out of vicinity! Mtu anayedhalilisha hata nduguye! No hebu tuwe na furaha kwa haya yaliyompata. mwishoni.

Yule mwingine aliyechoma mwenzake visu aliishia wapi jamani! Au mtu aitwaye kupaza aliyeuwa mpwa wake yuko wapi. Hope hawa watu wanatiwa adabu.

malipo duniani ahera mahesabu

awajui hilo
 
mpwa naelekea calabsh kula supu upo karibu

ila nafikiri Jamba zitakuwa zimeisha jana walizivamia sana
 
Sasa unapata furaha gani mtanzania mwenzio akifungwa nje ya nchi, hivi hao wamerakani wanatuibia vitu vingapi hapa TZ? jamaa angefanikiwa hizo pesa hata angejenga kibanda kwao, na katika hiyo chain na sisi tungepata angalau mlo wa siku, hivo ndo dunia inakwenda, instead unashangilia, huwezi kuta hata siku moja mtu wa marekani anafurahi mwenzie akifungwa bongo, ni ujuha tu unakusumbua, ila kwa akili za maboksi lazima ufurahi, maana degree moja unasoma miaka saba na kutunza vibibi lazima ufarahi mwenzio akipata shida maana mnakuwa wote maskini na hiyo ndio furaha yako.
 
.. Pdidy mimi nikishawapigaaaa hela wazungu huko ni nduki narudi bongo.....sibaki huko..
 
Last edited by a moderator:
Rod Blagojevich.. Aliekuwa Gavana wa Illinois toka 2002-20009.. Amefungwa miaka 14 kwa rushwa.. Swali jingine..?
Soma hii halafu endelea kujibu.
quote_icon.png
By Haji Salum
Utapeli wa kitanzania anaenda nao Marekani.. Huko hadi magavana wanafungwa. Alidhani huko nako hakuna utawala wa sheria kama hapa Bongo eh!
Wengine?
 
Back
Top Bottom