Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Don't argue with fool like him, he we will drag u down to his level of Madrasat and beat you with experience of KAMIKAZE.
JF kuna vituko huyu punguani anakipenda kiingereza bahati mbaya kiingereza akimpendi, bora uandike lugha yako ya kiswahili tu au kichaga kuliko kujidhalilisha na huu uharo uliondika.

teh teh teh
 
Kaazi kwelikweli.....CCM oyeeeeee.....

IMG_1180.JPG

Hafungwi mtu katika hawa
 
JF kuna vituko huyu punguani anakipenda kiingereza bahati mbaya kiingereza akimpendi, bora uandike lugha yako ya kiswahili tu au kichaga kuliko kujidhalilisha na huu uharo uliondika.

teh teh teh
na we akipendi ndio nin? Naona hata kiswahili hukiwezi
 
Tutaendelea pale tutakapo acha akili za kitumwa,na utumwa hao mababu zenu ma chief ndio walio wauza mababu zetu, halafu tunasingizia muarabu kufanya watu watumwa, wakati ma chief na wazungu ndio vinara number moja.
wewe ----- kweli hakuna siri waarabu kufanya biashara ya utumwa akiba tipu tipu walienda hadi kongo kutafuta watumwa we wazungu tu dini yako ya kigaidi inakutoa ufahamu
 
Hivi naona ingekuwa vema tuombe kwa hisani ya watu wa marekani wale wezi wa escrow watu saidie kuwashtaki
 
wewe ----- kweli hakuna siri waarabu kufanya biashara ya utumwa akiba tipu tipu walienda hadi kongo kutafuta watumwa we wazungu tu dini yako ya kigaidi inakutoa ufahamu

Dini yangu ni ya haki na kama huijui soma kitabu chetu tukufu utaona hilo, inaonyesha bado akili yako ina utumwa na bado inatumikia utumwa.
Ukienda nchi za kiarabu na American na ulaya, waafrica wengi wako America, ulaya huko arabuni ni wachache sana, kwa tafiti hizi inaonyesha kwamba walikuwa vinara wa utumwa ni wazungu, suala la waarabu kuja Africa kwa utumwa ni la kisiasa zaidi na lineletwa ili kutugawa waafrica, kwani wako waafrica waarabu ndani ya bara la Africa.
 
Back
Top Bottom