Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Makubwaaaaa!!!! Aiseeee......Jamani mke wake na watoto!

Duuuuh nimebaki macho yananitoka baada ya kusoma hii news.

Mkuu mi mwenyewe niliisoma sikumtambua mhusika hadi nilipoirudia aisee.....

Nimefeel guilt jamaa aliwahi tupatia zawadi ya SAA aina ya Michael Kors tukiwa NY too sad....

Sijui niirudishe vipi mkuu maana naona ni Kama pato la aibu....
 
Kuna mmoja nilikutana nae anaitwa "jeshi", hivi bado yupo US?
 
Mkuu mi mwenyewe niliisoma sikumtambua mhusika hadi nilipoirudia aisee.....

Nimefeel guilt jamaa aliwahi tupatia zawadi ya SAA aina ya Michael Kors tukiwa NY too sad....

Sijui niirudishe vipi mkuu maana naona ni Kama pato la aibu....

Mazee...hivi unajua kuwa Michael Kors ni shoga?

Au wewe hayo ya ushoga wake na bidhaa zake hayakuhusu?

Manake kuna watu walijidai eti watazitupa iPhones na iPads zao baada ya CEO wa Apple kutoka.....
 
Ha ha ha hayo ya ushoga wake sijali maana tutatupa vingapi?? Hayo ni maisha yake binafsi na kila MTU ana machukizo kwa wengine Kama ghiliba... Fitina... Ulevi... Wivu... Choyo... Wizi..
Uchawi.... Roho mbaya... Ulozi n.k n.k

Sasa tukianza kuhukumu la ushoga wakati na sisi tuna yetu mengi tu ambayo ni machukizo kwa Wenzetu inakua ni unafki tu...

Natumia iPhone.... Navaa Sana brand za dolce&gabbana natumia Facebook na vingine vingi tu ambavyo sikubahatika kuwajua wamiliki wake wala sijawahi jitia kwenye kelele za unafki....
 
Touché!
 
Hahahaaaa Jeshi alishagarudi (sijui alirudishwa yule) bongo zamani tu.

Halafu Jeshi nimemjua zamani sana tokea yeye na mama yake wanaishi Mwenge pale karibu na shule ya msingi ya Mapambano.

Huyo kijana sijuwi nae alikuwa na mishe mishe zipi maana alitukaribisha Mortons steak house, dinner hapo bei yake tulikuwa tunatazamana, halafu watu wanne na yeye watano na hatujuwi anafanya kazi wapi.

Hapo sasa.

Yupo bongo? hauna contacts zake? ni kijana mkarimu sana.
 
Ha ha ha we mkaree mkuu unamsahihisha mpaka le profeseri.....

Brazakaka hakuna asiyekosea dunia hii.

Chuoni nakumbuka kuna kama mara tatu hivi baada ya kurudishiwa mitihani ya mwisho wa mihula na kuipitia tena darasani, niliweza kubaini makosa ya profesa ambayo baada ya kumwonyesha alikubali kuwa alikosea na hivyo kuniongezea maksi.
 
Huyo kijana sijuwi nae alikuwa na mishe mishe zipi maana alitukaribisha Mortons steak house, dinner hapo bei yake tulikuwa tunatazamana, halafu watu wanne na yeye watano na hatujuwi anafanya kazi wapi.

Hapo sasa.

Duh! Ebana eeh kumbe ushawahi ku dine Morton's Steakhouse. Hiyo restaurant acha kabisa. Nilishawahi peleka date yangu moja mimi nikaagiza center cut fillet mignon na sweet potato casserole na yeye akaagiza sijui lobster tail na mvinyo gani sijui....bei yake sasa.....$350.00. Hiyo ni dinner for two. Mtu tano sitaki hata kufikiria.

Hapo ni pa kwenda mara moja kwa mwaka tu. Morton's The Steakhouse - The Best Steak Anywhere!

Yupo bongo? hauna contacts zake? ni kijana mkarimu sana.

Sijawasiliana naye kitambo ila pa kumpata najua. Pia ni mcheshi sana.
 
Duh! Ebana eeh kumbe ushawahi ku dine Morton's Steakhouse. Hiyo restaurant acha kabisa. Nilishawahi peleka date yangu moja mimi nikaagiza center cut fillet mignon na sweet potato casserole na yeye akaagiza sijui lobster tail na mvinyo gani sijui....bei yake sasa.....$350.00. Hiyo ni dinner for two. Mtu tano sitaki hata kufikiria.

Hapo ni pa kwenda mara moja kwa mwaka tu. Morton's The Steakhouse - The Best Steak Anywhere!

Sijawasiliana naye kitambo ila pa kumpata najua. Pia ni mcheshi sana.

Mambo ya Jeshi hayo.

Natamani sana kumuona kama yupo bongo.
 
Back
Top Bottom