Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

.. Pdidy twende tukamfanyie mchongo anika boas frm classmate adifungwe! unasemaje mpwa
 
Last edited by a moderator:
"Short cut is often a wrong cut."

Inasikitisha.

"Onyo kwake. Fundisho kwa wengine."
 
Jamaa siyo POOR bana, anatembea na Wakubwa.

d60.jpg


Poor Phanuel!
 
hata mie zimenishtua yummy wacha maisha kupokezana nakwambi

anyway afadhali nao walikumbuka dar kwa kutuletea yale magari marefu kwa wale walioamua kufunga pingu za maisha tukahisi tuko peponi kabla ya wengine kuleta hummer wakaanza kuyachoma moto ...nakumbuka moja nililikuta pale kwamama rwakatare linateketea loh nikajua nika

cc;INSUARANCE baada ya kujua ni ya nani .....he kumbe walikuawana piga mambo yetu ....aisee hivi yul;e baba yao bado mbunge .....

Lol......pdidy magari marefuuuu hahahaaaaa na wewe ukapanda na mwali wako? Si kuna jamaa mwingine na yeye alileta au alikua anaongea tu maana na yeye ni mpenda sifa sanaaaa loooh!!!!
 
Daaah.. Kusema kweli mara ya mwisho kuonana na huyo Idd ilikuwa kwenye mazishi ya mshkaji aliefia kwenye swimming pool pale Hou.. Almost 12 yrs ago.. Kulikuwa na issues walizokuwa wakizipiga..

Hivi investigation ya kifo cha kassim ilitoka vipi? Jamaa noma sana wale.
 
Hivi investigation ya kifo cha kassim ilitoka vipi? Jamaa noma sana wale.

Mwanzo walii-treat as homicide ila later wakajiridhisha hakukuwa na foul play iliyochezwa..
 
Mbona chenge huku kwetu tunampa kututungia katiba,huyo wamemuonea bwana wabaguzi tu hao

Pia ndie anamsaidia madame speaker kuleta neno zuri la kumwambia raisi ili aonekane binti mzuri mwenye adabu na heshima.
 
Back
Top Bottom