Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Makubwaaaaa!!!! Aiseeee......Jamani mke wake na watoto!

Duuuuh nimebaki macho yananitoka baada ya kusoma hii news.

Mke na watoto pengine kajipatia akiwa anapata pesa Haram jee kizazi nacho kitakuwaje?
 
Utumwa, mtumweusi ametumika sana ulaya na America kujenga nchi zao. 12 years slave, django

Aiseee..! Kwa hiyo hatuendelei na wala hatuna akili kwa kuwa many years ago wazungu "waliwaiba" babu zetu na kwenda kuwatumikisha huko kwao..?
 
Tutaendelea pale tutakapo acha akili za kitumwa,na utumwa hao mababu zenu ma chief ndio walio wauza mababu zetu, halafu tunasingizia muarabu kufanya watu watumwa, wakati ma chief na wazungu ndio vinara number moja.
 
IMG_8368.JPG

Ccm kweli maradhi ya ebola, yaani baada ya kuambukizwa hapo, akaenda kupiga deal alizani hilo deal ni la escrow au la Gasi ya mtwara bomba la Gasi?
 
Tutaendelea pale tutakapo acha akili za kitumwa,na utumwa hao mababu zenu ma chief ndio walio wauza mababu zetu, halafu tunasingizia muarabu kufanya watu watumwa, wakati ma chief na wazungu ndio vinara number moja.

Sikubaliani na yeyote anaesema wazungu wametuibia na tumekuwa masikini kwa sababu hizi.. Iwe kupitia utumwa au rasilimali.. Kama miaka ya sitini huko nchi nyingi za Asia zilikuwa sawa na Tanzania na nchi nyingine zaAfrica kilichofanya wao wafike juu na sie tuporomoke zaidi kinahitaji mjadala..
 
Umasikini unatokana na leadership ambayo tuliitoka nayo huko nyuma baada ya Uhuru, kuwa na viongozi ma dictator wizi wa rasilimali, wachoyo, wasio jali wananchi, na haya yote kama nilivyo sema baada ya Uhuru hatukuwa na viongozi wenye nia dhati tukawa na katiba mbovu kabisa inayo Linda mafisadi, katiba hio ikazaa tena rasimu ya katiba iliojaa kinga za mafisadi, wananchi kuwa watumwa wa mafisadi kodi zenu ndo hizo zinaliwa na escrow.

Bado watanzania ni watumwa na mpaka wafunguke akili,waiyondoe ccm madarakani na kudai haki , katiba safi kabisa itakayo wapa muangaza wa maendeleo.

Rushwa ni adui mkubwa, na Ndio nguzo ya umasikini.
 
Mwisho wa yote kabla atujaelekea pg ya 14
tuanze kupeana mawazo tunafanyaje na wenzetu nao waweze kurudi nchini na kupiga dili za nchini kama escrow part II,epa part II na zinginezo badala ya kuaacha wakiteseka na madili ya huko na kuishia kupigwa miaka ya hatari ..at least huku ukiweza kumnnunulia nyumba jaji osterbay /masaki una uhakika wa kutoka.....

tuwashawishi wenzetu warudii warudiii warudiii atleast waje kutupa na akili na sisi tuliolalla jinsi gani ya kupiga dili za nyumba pale wizara ya ardhi ..nk
 
Hahahahahahahah hahahahahah hahahahah
 
ccm kweli maradhi ya ebola, yaani baada ya kuambukizwa hapo, akaenda kupiga deal alizani hilo deal ni la escrow au la gasi ya mtwara bomba la gasi?

hivi mkuuuluuu anasoma jf???
 
Mwisho wa yote kabla atujaelekea pg ya 14
tuanze kupeana mawazo tunafanyaje na wenzetu nao waweze kurudi nchini na kupiga dili za nchini kama escrow part II,epa part II na zinginezo badala ya kuaacha wakiteseka na madili ya huko na kuishia kupigwa miaka ya hatari ..at least huku ukiweza kumnnunulia nyumba jaji osterbay /masaki una uhakika wa kutoka.....

tuwashawishi wenzetu warudii warudiii warudiii atleast waje kutupa na akili na sisi tuliolalla jinsi gani ya kupiga dili za nyumba pale wizara ya ardhi ..nk

Hahahaha
 
Mkuu Ghibuu
tumekalia uchumi awa vijana wa dizaini hii wakirui kumi wanaweza tufungua watanzania wengi nini cha kufanya kuondokana na maatatizo yasiyo na lazima

KUZALIWA MASKINI SI DHAMBI

DHAMBI KUFA MASKINI.......
 
Hahahaha dhambi kufa masikini haliya kuwa uwezo wa kukutoa katika umasikini unao au vipi? Hao watu hawafai kabisa wanaweza kuhujumu uchumi na kutoweka.
 
Is this all?

Ha ha ha ha linapokuja suala la kujadili kitaalam/kisomi unapwaya Sana teh teh teh

Swali jepesi

Kama ujinga = lack of knowledge na

Education = Acquisition of knowledge je elimu ni ??

Halafu ujue hata huo unyago wenu pia ni sehemu ya Elimu......

"Is that all" would have been more appropriate.

Hayo yote yako wewe kwa kuwa u mjinga na umekiri wewe mwenyewe kuwa u mjinga, hakuna cha ku dicusss hapo, huo ni ujinga wako wa kutaka ku justify kuwa wewe si mjinga baada ya kukiri na kujionesha dhahiri kuwa u mjinga. Eti elimu inafuta ujinga! khaa. huo ni ujinga wa hali ya juu unaoendelea kuudhihirisha

Utacheza na maneno upendavyo lakini nnakuhakikishia ujinga wako haufutiki hata kwa JIK.

You are simply in the dark.

Education is Ignorance - Noam Chomsky
 
Jana, Disemba 9 2014, mbeba maboksi aitwaye Alpha Mshihiri alihukumiwa kwenda miaka 12 gerezani kwa makosa ya ulaghai wa mikopo ya nyumba.

Wenzenu tunabeba maboksi halafu nyie mnafanya ufisadi wenu na kujidai eti hamuwezi kuajiriwa na mtu. Mkizipata hizo hela mnaanza nyodo.

Kwahio sio mbeba Boksi ni Fisadi mkataa kubeba Boksi.....
 
Hahahaha dhambi kufa masikini haliya kuwa uwezo wa kukutoa katika umasikini unao au vipi? Hao watu hawafai kabisa wanaweza kuhujumu uchumi na kutoweka.

haahaaaaaa nimeipenda hiyo in red....gov take nte
 
"Is that all" would have been more appropriate.

Hayo yote yako wewe kwa kuwa u mjinga na umekiri wewe mwenyewe kuwa u mjinga, hakuna cha ku dicusss hapo, huo ni ujinga wako wa kutaka ku justify kuwa wewe si mjinga baada ya kukiri na kujionesha dhahiri kuwa u mjinga. Eti elimu inafuta ujinga! khaa. huo ni ujinga wa hali ya juu unaoendelea kuudhihirisha

Utacheza na maneno upendavyo lakini nnakuhakikishia ujinga wako haufutiki hata kwa JIK.

You are simply in the dark.

Education is Ignorance - Noam Chomsky

Ha ha ha unazidi kujionesha wewe ni ZUZU

Nimekwambia Kama ujinga ni kukosa ujuzi na elimu ni hatua ya kuongeza ujuzi so elimu kazi yake nini?

Usipate shida na Mimi nilikiri na ninaendelea kukiri Mimi ni mjinga ktk mengi tuu... Mfano mambo ya astronomy na physics...aviation Mimi siyajui wala sina utaalam nayo so Mimi ni mjinga kwayo...

Siwezi kukazana kujionesha si Mjinga kwa mambo nisiyoyajua ......

Tatizo una phobia Sana na shule bado nakwambia dirisha la MEMKWA lipo wazi kajisajili upate walau elimu dunia.....
 
Mjinga ni mjinga tu hana mengi wala machache. Nawe ni mjinga tena toka kuzaliwa kama ulivyokiri wewe mwenyewe na hata uijuwe "astronomy" na mengine, bado wewe ni mjinga tu.
 
Kutojua astronomy ni ujinga kwangu lakini nikishaijua astronomy siwezi kuwa mjinga ktk fani ya astronomy. Unafikiri kwa kutumia nini?

Binadamu wote huzaliwa wajinga usipate tabu kulirudia hilo maana kwangu ujinga si aibu wala dhambi....
 
Back
Top Bottom